Ujio wa rais wa FIFA na aibu ya makao makuu ya TFF

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,857
Kwa upande wangu,makao makuu ya TFF bado sana,ie poor!!! ni heri Rais wa FIFA angepelekwa hotelini,na kikao kifanyikie hotelini,samahani kama ntakuwa nimewakwaza!!!ila makao makuu ya TFF yanazidiwa na makao makuu ya simba na yanga
 
Tatizo Wakudadavuwa amekalia Siasa uchwara kila kukicha humu jukwaani
 
Ndio matunda ya kuchanganya madesa,unaweka siasa na mpira alafu utegemee matokeo mazuri,Wanakumbuka shuka kumekucha wapambane na haki yao
 
FIFA Ndiyo walitoa hizo fedha kujenga ofisi unayoiona, kipindi cha kina Blatter, na baadae wakajenga Hostel.

Lakini mkutano unafanyika, Nyerere Conference center.

Ukweli watu wa TFF sio wabunifu, bora viongozi wa zamani walikua na uwanja wa karume, lakini mpaka leo hakuna uwanja mwingine
 
Kwa upande wangu,makao makuu ya TFF bado sana,ie poor!!! ni heri Rais wa FIFA angepelekwa hotelini,na kikao kifanyikie hotelini,samahani kama ntakuwa nimewakwaza!!!ila makao makuu ya TFF yanazidiwa na makao makuu ya simba na yanga

Kuna muda ukimkaribisha Mgeni wako ambaye ni Tajiri aje Kukutembelea yakupasa umwonyeshe uhalisia wako wa Kimaisha ili aweze kujua anaweza Kukusaidia vipi kutoka katika ' dhiki ' iliyokutukuka.
 
Uko sawa mkuu,akipelekwa hoteli atakuhurumia na kukusaidia vipi wakati hajui unapolala!

Akifika kwako akalala kwenye jamvi ndo atakujua huyu mtu hana kitanda na godoro ngoja nimsaidie.
 
FIFA Ndiyo walitoa hizo fedha kujenga ofisi unayoiona, kipindi cha kina Blatter, na baadae wakajenga Hostel.

Lakini mkutano unafanyika, Nyerere Conference center.

Ukweli watu wa TFF sio wabunifu, bora viongozi wa zamani walikua na uwanja wa karume, lakini mpaka leo hakuna uwanja mwingine
Kwani TFF ilianzishwa lini,maana wengine ni wageni hapa nchini, kama FIFA ndo walijenga,makusanyo wa TRA kwenye michezo yanaenda wapi? usiniambie kujenga fly over!!!
 
Kuna muda ukimkaribisha Mgeni wako ambaye ni Tajiri aje Kukutembelea yakupasa umwonyeshe uhalisia wako wa Kimaisha ili aweze kujua anaweza Kukusaidia vipi kutoka katika ' dhiki ' iliyokutukuka.
Mbaya zaidi unapokuwa unakula pesa anazokupa kwaajiri ya maendeleo.
 
Naona makao makuu TFF hanafanana na chama chetu kikuu pinzani majengo yao
 
Kuna muda ukimkaribisha Mgeni wako ambaye ni Tajiri aje Kukutembelea yakupasa umwonyeshe uhalisia wako wa Kimaisha ili aweze kujua anaweza Kukusaidia vipi kutoka katika ' dhiki ' iliyokutukuka.
Huyo adharus kasema fifa ndio walitoa hela...
Sasa kama fifa walitoa hela nyingi zaidi ya kuweza kujenga jengo bora na la kisasa zaidi kuliko hilo walilojenga, wakiona huo upuuzi watakuwa picha gani?

Mradi wa mwendo kasi waliotoa pesa zao walituona wapuuzi sana kwa upupu uliofanyika...
 
Hapohapo ndio penyewe, hakuna haja ya kuishi maisha ya kuigiza, ishi kiuhalisia.
 
Back
Top Bottom