Tatizo Wakudadavuwa amekalia Siasa uchwara kila kukicha humu jukwaaniKwa upande wangu,makao makuu ya TFF bado sana,ie poor!!! ni heri Rais wa FIFA angepelekwa hotelini,na kikao kifanyikie hotelini,samahani kama ntakuwa nimewakwaza!!!ila makao makuu ya TFF yanazidiwa na makao makuu ya simba na yanga
WAMESHNDWA KUCHUKUA HATA BN. 1 WAKAWATAFUTA TBA WAWAJENGEE MJENGO
Wanaogopa nanihii joint......sijui nimepatia?WAMESHNDWA KUCHUKUA HATA BN. 1 WAKAWATAFUTA TBA WAWAJENGEE MJENGO
Kwa upande wangu,makao makuu ya TFF bado sana,ie poor!!! ni heri Rais wa FIFA angepelekwa hotelini,na kikao kifanyikie hotelini,samahani kama ntakuwa nimewakwaza!!!ila makao makuu ya TFF yanazidiwa na makao makuu ya simba na yanga
Uko sawa mkuu,akipelekwa hoteli atakuhurumia na kukusaidia vipi wakati hajui unapolala!Kuna muda ukimkaribisha Mgeni wako ambaye ni Tajiri aje Kukutembelea yakupasa umwonyeshe uhalisia wako wa Kimaisha ili aweze kujua anaweza Kukusaidia vipi kutoka katika ' dhiki ' iliyokutukuka.
Kwani TFF ilianzishwa lini,maana wengine ni wageni hapa nchini, kama FIFA ndo walijenga,makusanyo wa TRA kwenye michezo yanaenda wapi? usiniambie kujenga fly over!!!FIFA Ndiyo walitoa hizo fedha kujenga ofisi unayoiona, kipindi cha kina Blatter, na baadae wakajenga Hostel.
Lakini mkutano unafanyika, Nyerere Conference center.
Ukweli watu wa TFF sio wabunifu, bora viongozi wa zamani walikua na uwanja wa karume, lakini mpaka leo hakuna uwanja mwingine
Mbaya zaidi unapokuwa unakula pesa anazokupa kwaajiri ya maendeleo.Kuna muda ukimkaribisha Mgeni wako ambaye ni Tajiri aje Kukutembelea yakupasa umwonyeshe uhalisia wako wa Kimaisha ili aweze kujua anaweza Kukusaidia vipi kutoka katika ' dhiki ' iliyokutukuka.
Huyo adharus kasema fifa ndio walitoa hela...Kuna muda ukimkaribisha Mgeni wako ambaye ni Tajiri aje Kukutembelea yakupasa umwonyeshe uhalisia wako wa Kimaisha ili aweze kujua anaweza Kukusaidia vipi kutoka katika ' dhiki ' iliyokutukuka.