Mrisho Nkinga BadNews
Member
- May 22, 2018
- 26
- 10
mtoto wa malkia wa uingereza "Elizabeth" Kufanya ziara yake barani afrika katka baadhi ha nchi na inaelezwa kuwa hata tanzania ni miongoni mwa sehemu anazozuru kijana huyu ambae amekuwa ni mwanaharakati wa masuala ya ujangiri kwa mjda sasa na nchini tanzania anatarajiwa kukutana na rais JpM kwaajiri ya kujadiri masuala haya haya ya ujangiri n.k
je ujio wake huu tunautafsiri vipi wanajukwaa, je ss kama taifa tutanufaika na nn juu ya ziara hii ya prince, nafasi ya ujangiri nchini kwetu ikoje ukikompea na juhudi za serikali katika kupambana, harakat za prince zimekuwa zikifanikiwa kwa kiasi gani???
MSAADA WENU WANAJUKWAA TAFADHALI🙏🙏🙏