Zuberi Magoha
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 208
- 69
Wadau ,muda huu katika ITV kikao cha RCC pamoja na kupiga marufuku ufungaji wa magari hovyo mjini wamesema safisha Jiji ondoa omba omba ili Ombana aone mji safi Ilala pekee walitumia 350mn .Sasa uchafu umezagaa na Ombaomba ka zamani .Leo Umeme juu , gas juu , kodi kibao , CCM wanatumaliza .