Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,454
- 25,366
Wakuu nani ana muvi ya krrrrish 4
Nasikia imetoka tayali
Nasikia imetoka tayali
Site ipi hiyo mkuu?Kuna site ungeingia ungekuwa ushapata jibu mkuu
Umeona eeh!Krissh 3 wameboronga sana, too much edition... Inakuwa mtu kama unaangalia vikatuni, uhalisia ni finyu mno.
Huenda hii 4 watajitahidi
Sana, Walicheza vizuri kwenye 1&2 cuz walitumia utamaduni wa kihindi, sasa vikorombwezo walivyoviweka kwenye 3 ndio wameboronga, Hasahasa walipombadilisha director ndo wamebugiUmeona eeh!
Kweli kabisa mkuu tena waliboa zaidi pale jamaa alipokuwa anakimbiza ndege mpaka akaipata na jinsi alivyokuwa ana ruka rukaSana, Walicheza vizuri kwenye 1&2 cuz walitumia utamaduni wa kihindi, sasa vikorombwezo walivyoviweka kwenye 3 ndio wameboronga, Hasahasa walipombadilisha director ndo wamebugi
Hahaha mimi wameniboa pale kwenye lile roboti... Yani waliniudhiKweli kabisa mkuu tena waliboa zaidi pale jamaa alipokuwa anakimbiza ndege mpaka akaipata na jinsi alivyokuwa ana ruka ruka
Kumbe nawe ulionaaa eeeHahaha mimi wameniboa pale kwenye lile roboti... Yani waliniudhi
Ngoja tuisubirie hiyo 4Kumbe nawe ulionaaa eee
Ngoja tuisubirie hiyo 4Kumbe nawe ulionaaa eee
Yaan wana vituko aisee si kwa kutudanganya kuleNgoja tuisubirie hiyo 4