Ujio wa Iphone 6 November mosi

Ujio wa Iphone 6 November mosi

hana pesa uyooo hana lolote alafu anasema tecno,wakati watu tunazungumzia iphone6 yaani man is hidebound" chukua iphone 6 kitu kinataka kulingana na bei ya gx100 au kiko bei sawa na vitz

Hahahahah simu ina value ye vitz😄😄😄
 
Na wabongo tunavyopenda kujistretch kwa fashen tutakopa hata bank kuinunua walahi
 
m6????????
tetesi: eti nasikia hiyo simu kama ukiachia kitu cha yusuph a.k.a ushuzi wa kimiyakimya inasema 'hapa pamejambwa',kweli etiiiiii?
ahaaaa !!! Mbaya zaidi kama una mchepuko bora usiende nayo maana ina kawaida ya kusema yaani ni noma hii cm
 
Jamani ivi mbona mi toka ninunue simu yangu hainiletei yale mambo ya "From my iPhone using jamii forums" kama wenzangu? Nifanyaje?
 
Duh sasa hiyo ya kujijibu yenyewe wale wazee wa madeni sijui itakuwaje hapo, manake mtu akidaiwa simu ikipigwa anajifanya kama haioni, lakini kwa staili hii simu si itatoa siri zake sasa.
 
hana pesa uyooo hana lolote alafu anasema tecno,wakati watu tunazungumzia iphone6 yaani man is hidebound" chukua iphone 6 kitu kinataka kulingana na bei ya gx100 au kiko bei sawa na vitz

Aisee kweli tunatofautiana, yani me nawaza home nitaacha nini ili wale wengine wanapromote simu za 6m. mY God wherever you are please bless me. inshalah
 
Duh! Si mchezo, naomba ikute nimehamia kwangu, maana mama mwenye nyumba akiniona nayo tu atanipandishia kodi mara mbili.
 
Jamani ivi mbona mi toka ninunue simu yangu hainiletei yale mambo ya "From my iPhone using jamii forums" kama wenzangu? Nifanyaje?
au mchina uyo kama og au a haja kuingia jf mara kwa mara kitu on display mwanangu!!
 
Aisee kweli tunatofautiana, yani me nawaza home nitaacha nini ili wale wengine wanapromote simu za 6m. mY God wherever you are please bless me. inshalah
ilo ndilo uliloacha!!!
 
Haiwezi kuwa mil 6 hata siku moja labda kama unataka iwe customized na madini kama gold etc. bei yake ita range kati ya mil 1 hadi 1.5
sasa iphone 5s ni 1.5milion iphone 5c 2.1milion iphone 5 1milion na 30000 iweje iyo iwe bei iyo
 
Bei zote izo zipo pale sapna au wewe mgeni na cm za bei mbaya
 
Bei zote izo zipo pale sapna au wewe mgeni na cm za bei mbaya

Haya wewe mwenyeji wa simu za bei mbaya endelea kubaki na imani yako wala sio lazima ukubali nilichosema ila subiri mwezi ujao simu itatangazwa then utaona mwenyewe.
 
Tuulize sisi tuliofika Kama hujui bei za viwanja tukupeleke instead ya kununua liability hiyo
hizo ni bei za hovyo hovyo ktk duka la kawaida ila yapo maduka makubwa kama wakala wa iphone nchini mr !!!!
 
Back
Top Bottom