Ujio wa bendi mpya ya Ogopa Kopa

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Bendi mya ya ogopa kopas classic band modern taarab ambayo ni bendi inayokuja kwa kasi mjini.


Bendi hiyo chini na ukurugenzi wa malkia Khadija omary kopa sasa. wanatarajia kufanya uzinduzi mwezi mei mwaka huu

Baadhi ya nyimbo zao zilizofanya vizuri ni
stop redcard ya hanifa maulidi, mamaa mukubwa ya khadija kopa

Wasanii wengine wa bendi hyo ni aziza bonge, hemed omary, omary zungu,young hassan ally, na wengine wengi


Wapenzi wa taarab kaeni mkao nzuri raha ya raha upate raha na siyo karaha
 
Back
Top Bottom