Ni kilimanjaro music awards au dar es salaam music awards.?

Dec 10, 2011
78
21
Haya mashindano ya kili awards sijawahi kuyaelewa., miaka yote 99.9% ni wasanii wa dar ndio wanakuwa nominated tena wengi wao hawastahili ni kwa kubebana tu., ni kweli mikoani hamna wasanii..? Au labda wanaogopa cost za kuwasafirisha.? Embu cheki nominees..; >>>WIMBO BORA WA MWAKA
1. Hakunaga / Suma Lee
2. Dushelele / alikiba
3.Moyo Wangu / Diamond
4.Mathematics / Roma
5. Nilipe nisepe / Belle 9
6. Riz one / Izzo B

MTUMBU1ZAJI BORA WA KIUME
1. Diamond
2. Allykiba
3. Dully sykes
4. Bob Jr
5. Mzee Yusuph

MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
1.Khadija Kopa
2. Isha Mashauzi
3. Queen Darleen
4. Dayna
5. Shaa

MUIMBAJI BORA WA KIUME
1. Alikiba
2. Barnaba
3. Diamond
4. Belle 9
5. Mzee Yusuph

MUIMBAJI BORA WA KIKE
1. Lina
2. Lady Jay Dee
3. Khadija Kopa
4. Dayna
5. Isha Mashauzi

WIMBO BORA WA R&B
1. Nilipe Nisepe / Belle 9
2. Usiniache / Hemed
3. Maumivu / Ben Pol
4. Number one fun / Ben Pol
5. Napata raha / Jux

WIMBO BORA WA HIP HOP
1. Famous
2. King Zilla
3. Mathematics
4. Riz one
5. Kilimanjaro

MSANII BORA WA HIPHOP
1. Godzilla
2. Roma
3. Izzo b
4. Joh Makini
5. Fid Q

WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
1. Kigeugeu
2. Chokoza
3. Mulika mwizi
4. Coming home
5. 4sho 4 shizzle

MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA
1. Maco Chali
2. Pancho Latino
3. Bob jr
4. Maneck
5. Man walter

VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1. Moyo wangu
2. Hakunaga
3. Wangu / Jay dee na Blue
4. Ndoa ndoana / Kassim feat blue
5. Bongo fleva / Dully sykes

WIMBO BORA WA AFRO POP
1. Hakunaga / suma lee
2. Bongo fleva / Dully sykes
3. Moyo wangu / Diamond
4. Mawazo / Diamond
5. Nai nai / Ommy dimpoz

MSANII BORA ANAECHIPUKIA
1. Ommy dimpoz
2. Darasa
3. Recho
4. Abdul kiba
5. Beatrice aka nabisha

WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA
1. Daima milele / Barnaba
2. Dushelele / Alikiba
3. Nivute kwako / Dayna
4. Wangu / Jay Dee feat Blue
5. Kizungu zungu / Recho

MTUNZI BORA WA MWAKA
1. Diamond
2. Alikiba
3. Mzee yusuph
4. Barnaba
5. Belle 9

WIMBO BORA WA KUHSIRIKIANA
1. Famous / Jay Mo feat Mimms na Imu kadir
2. King zilla / God zilla feat Marco chali
3. Wangu / Jay Dee feat Blue
4. Kama ni gangstar / Chege* feat Temba na Ferouz
5. Nai nai / Ommy dimpoz feat Alikiba

WIMBO BORA WA REGGAE
1.Mazingira / Malfred feat Lutan Fyah
2. Arusha gold / Warriors from East
3. Give it up to me / Delyla princess
4. Nia yao / 20%
5. Ni wewe/ Nakaaya

WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL
1. Good look / AY feat Miss Trinity
2. Maneno maneno / Queen Darleen
3. Ganja man / Dabo
4. Kudadeki / Malfred
5. Poyoyo / Malfred

WIMBO BORA WA TAARAB
1. Full stop / Khadija Kopa
2. Mamaa mashauzi / Isha Mashauzi
3. Hakun mkamilifu /* Jahazi
4. Nani kama Mama / Isha Mashauzi
5. Nilijua mtasema / Jahazi

WIMBO BORA WA KISWAHILI* (BENDI)
1. Dunia Daraja / African stars
2. Hukum ya Mnafik / Mashujaa band
3. Falsafa ya Mapenzi / Extra bongo
4.Usia wa babu / Mapacha Watatu
5. Mtenda /Extra Bongo

RAPA BORA WA MWAK A(BAND)
1. Kalidjo Kitokololo
2.Khalid Chokoraa
3. Fagason
4. Msafiri Diof
5. Totoo ze Bingwa
 
Haya mashindano ya kili awards sijawahi kuyaelewa., miaka yote 99.9% ni wasanii wa dar ndio wanakuwa nominated tena wengi wao hawastahili ni kwa kubebana tu., ni kweli mikoani hamna wasanii..? Au labda wanaogopa cost za kuwasafirisha.? Embu cheki nominees..; >>>WIMBO BORA WA MWAKA
1. Hakunaga / Suma Lee
2. Dushelele / alikiba
3.Moyo Wangu / Diamond
4.Mathematics / Roma
5. Nilipe nisepe / Belle 9
6. Riz one / Izzo B

MTUMBU1ZAJI BORA WA KIUME
1. Diamond
2. Allykiba
3. Dully sykes
4. Bob Jr
5. Mzee Yusuph

MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
1.Khadija Kopa
2. Isha Mashauzi
3. Queen Darleen
4. Dayna
5. Shaa

MUIMBAJI BORA WA KIUME
1. Alikiba
2. Barnaba
3. Diamond
4. Belle 9
5. Mzee Yusuph

MUIMBAJI BORA WA KIKE
1. Lina
2. Lady Jay Dee
3. Khadija Kopa
4. Dayna
5. Isha Mashauzi

WIMBO BORA WA R&B
1. Nilipe Nisepe / Belle 9
2. Usiniache / Hemed
3. Maumivu / Ben Pol
4. Number o

Nijuavyo mimi wafuatao utoka mikoani,
dayna,belle -moro
roma-tanga
 
Ndio maana nimesema 99.9%., Dayna belle na roma wametokea mikoani ndio lakini makazi na shughuli zao za music wanafanyia dar.,na pia tambua ninaposema kutokea dar sio iwe ndio mkoa wake., sababu hakuna msanii ambaye ametokea dar ni wachache sana., wengi ni wahamiaji., Point ni kwamba nominees karibia wote ni wakazi wa dar na wanafanya shughuli zao za mziki dar... Je walio mikoani na wanaofanyia kazi zao mikoani hizi tuzo haziwahusu.? Au kila msanii akitaka mafanikio aamie dar?
 
Hilo jina limetokana na udhamini,wazamin ni kilimanjaro,same as Vodacom miss tanzania!!! Hata we ukiwa mzamin mkuu unaweza ukaita jina lako tu
 
Hilo jina limetokana na udhamini,wazamin ni kilimanjaro,same as Vodacom miss tanzania!!! Hata we ukiwa mzamin mkuu unaweza ukaita jina lako tu
Naelewa kwa hilo swala la udhamini vizuri sana., point yangu kubwa ninayoiongelea ni nominees.., kwanini karibia miaka yote nominees wao(wasanii) ni watu wa dar.., inamaana BASATA wao wasanii wanaona wa dar tu au kuwa msanii bora hadi uhamie da?
 
Utanisamehe ila naomba kusema kwamba hujafanya uchunguzi, kuishi dsm hakumaanishi wewe ni mzaliwa wa dsm na kumbuka kwamba hao wasanii wametoka mikoani kuja dsm kwa sababu ya suala zima la infrastructure na mambo mengine mengi kama masoko, networking na mambo chungu nzima. Jaribu kufuatilia utaona vyanzo vya hao wasanii utapata jibu la swali lako.
 
Siku yakitokea mashindano ya mkulima bora na mshindi akatokea dar na asiwe wa mkoani ndo ulalamike ila siyo suala la music!!!!
 
Naelewa kwa hilo swala la udhamini vizuri sana., point yangu kubwa ninayoiongelea ni nominees.., kwanini karibia miaka yote nominees wao(wasanii) ni watu wa dar.., inamaana BASATA wao wasanii wanaona wa dar tu au kuwa msanii bora hadi uhamie da?

Nitajie wasanii watano ambao hawapo ila wana deserve kuwa nominees wanaofanyia kazi mikoani?!
 
Mm naombwa kujuzwa hv haya mashindano msanii akipata tuzo moja atapewa na pesa?
Na ni kias gani
 
Mm naombwa kujuzwa hv haya mashindano msanii akipata tuzo moja atapewa na pesa?
Na ni kias gani

Pesa wanapewa,walikuwa wanapewa laki 5, ila ni miaka mingi imepita sina uhakika kwa sasa wanalipwaje?! Af baada ya kushinda huwa kuna tour za show huwa washindi wanafanya nchi nzima ambazo pia hulipwa.
 
Utanisamehe ila naomba kusema kwamba hujafanya uchunguzi, kuishi dsm hakumaanishi wewe ni mzaliwa wa dsm na kumbuka kwamba hao wasanii wametoka mikoani kuja dsm kwa sababu ya suala zima la infrastructure na mambo mengine mengi kama masoko, networking na mambo chungu nzima. Jaribu kufuatilia utaona vyanzo vya hao wasanii utapata jibu la swali lako.
Hamna haja ya kuomba msamaha coz jf ni ya kuelimishana so thnx kwa kunieleza ukweli kwenye uchunguzi wangu.., ila mimi naweza ongelea mkoa wangu zaidi sababu nasoma game inavyoenda huku., kutomuweka dogo janja kwa machipkizi siioni kama imekaa vizuri kabisa., kwa mwaka jana huyu dogo amechipukia vizuri., pili producers nominees aisee DX alistahili sana kwani amepiga ngoma nyingi ambazo zimebamba na kumake headlines., tatu kwenye nyimbo shirikishi xray ya mo plus na jo makini did well on airtime., bt i biliv sababu mo plus ni wa mkoa ndo maana amepotezewa
 
Pesa wanapewa,walikuwa wanapewa laki 5, ila ni miaka mingi imepita sina uhakika kwa sasa wanalipwaje?! Af baada ya kushinda huwa kuna tour za show huwa washindi wanafanya nchi nzima ambazo pia hulipwa.

Kuna mtu anayehusika ameniambia ni kama mwaka wa tatu sasa wanapewa mil 2 kwa kila award
 
Nitajie wasanii watano ambao hawapo ila wana deserve kuwa nominees wanaofanyia kazi mikoani?!

Siwezi fika watano coZ sijakaa mikoa yote wangu kujua kila msanii wa mkoa ila from arusha chipkizi dogo janja angewekwa kwenye nominees, kuna veejay ambaye naye amekuja poa mwaka jana., mo plus amefanya vizuri kwenye x ray na imebamba poa angewekwa hata kwenye nyimbo ya shirikishi nominees., tuje kwa maproducer dx anastahili sana coz amesimama na ametoa nyimbo kali na zimemake headlines
 
Mbona dogo janja ni mkazi wa Dar mkuu? Btw, watoto hawaruhusiwi kushiriki, kwakuwa wadhamini ni bia ya kili, nukta!
 
Yale yale tu, wanaogopa gharama

Kweli kabisa sababu mwisho wa siku hata wakiweka nominees kumi ni mmoja tu atayeshinda., wanachoogopa nadhani ni kuwamaintain watu wa mikoani kuja kwenye hizo awards kwenye suala zima la nauli., cost za malazi n.k
 
Mbona dogo janja ni mkazi wa Dar mkuu? Btw, watoto hawaruhusiwi kushiriki, kwakuwa wadhamini ni bia ya kili, nukta!

Dogo janja hajaweka makazi dar., anasoma na mara nyingi likizo zake zote hurudi nyumbani., huwezi kumuweka dogo janja kwenye kundi la wakazi wa dar.., kuhusu umri hapo nimekuelewa kaka although sitambui vizuri umri wake sahihi
 
Unajua unapo'argue ujaribu kumake sense, wewe unamtaja Mo plus sijui na X-ray sidhani kama wanafika hata robo Nikki Mbishi (nyimbo zao nishazisikia). Nikki ana albamu kali ya hip hop, na pia mwaka jana kafanya vizuri sana na ni mkazi wa Dar. Kuna tatizo lingine kwa waandaji na sio ukazi wa sehemu flani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom