Dah jana nilikumiss kijana wangu ila yale mambo yetu siunajua ni balaa nkakosa chance kukucall.
Hebu leo tuongeepo badae.
Karibu Lucas.
I remain
Saint Erick
Ndugu zangu wana JF,
I salute you in the name of Peace, Love and tranquility,
Ni takriban miaka miwili nimekuwa hapa JF tukishirikishana mambo mbali mbali na namshukuru Mungu maana nimeweza pata hadi marafiki wazuri sana na tuki-share mambo mbali mbali ya kimaisha.
Leo nimeamua kuja na moja ya majina yangu halisi, na sio just a username, ninafurahia kufahamiana, lakini pia ninafurahia kuwa sehemu ya furaha ya watu wengine.
It is always my wish to be a part of someone's happiness, and that is why i like smiling, but in whatever I do i always wish to glorify my God and to seek holiness from Him. that is why I called myself Smiling saint, those are my wishes, ukijisikia kuniita hivyo karibu, ukijisikia kuniita Lucas pia karibu
NB: to My brothers Erickb52, manoah, Boflo, BAGAH, Nicas Mtei, To wajomba Mtambuzi, Bishanga, Asprin, Dark City, my friends woote King'asti, Cantalisia, Smile Kongosho, Mwali, Arushaone, Ronn M, Mr Rocky, Bujibuji et al.... kiukweli ni wengi sana , sijawasahu charminglady, Zion Daughter, Mpenda Yesu, Filipo, FP (mtani wangu huyu) snowhite, na mama Mamndenyi......
I wish niwa-name woote but ninaomba hao wawa kilishe salamu zangu za upendo, furaha na amani kwa wooote

mweee kale kapala sijui kasungura nako unahama nako!au unamwachia @smiling saint ?
R.I.P @smiling saint will miss yu tom!

Ahah haha haha aha ahah SS bado fikra zake zinaishi.. wala haja RIP ila amebatizwa.....R.I.P @smiling saint will miss yu tom!