ujinga

ujinga

DEWJI

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
70
Reaction score
8
watu wanachangia sana kwenye mada za mapenzi hivi sisi watanzania ha2na mamabo ya kufikiri au?
 
Ukiniuliza mie ujinga ni nini nitasema ni hichi unachofanya hapa. Badala ya kuleta mada tuichangie unalalamikia mada zinazochangiwa.na wengine. Be here as part of the change ndugu!
 
Ndio maana humu kuna majukwaa mengi. Nenda sehemu unayo ipenda, ukija huku MMU unataka wa diski ma siasa yenu? Huku fulu ma baby , honey ooh! Swet love u. Kama lina kukela nenda siasani, au elimu hata jukwaa la mapishi uko hutokuta usiyo yataka. Mpenzi wangu Suprise nazipenda sana kucha na nywele zako.
 
Last edited by a moderator:
Huyu yeye ndio mjinga, anata jukwaa la MMU wajadili siasa? Kila kitu kina sehemu yake sahihi
Ukiniuliza mie ujinga ni nini nitasema ni hichi unachofanya hapa. Badala ya kuleta mada tuichangie unalalamikia mada zinazochangiwa.na wengine. Be here as part of the change ndugu!
 
watu wanachangia sana kwenye mada za mapenzi hivi sisi watanzania ha2na mamabo ya kufikiri au?

Mamabo ndiyo kitu gani? Subiri hivyo viroba vyako viishe kichwani halafu uje tena.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
NANI HUYU ANATUCHAFURIA HEWA HUMU NDANI
kuna mkuu alisema humu anayechunguzachunguza mambo yasiyomuhusu ni MCHAWI
ujui JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA.
 
Wewe ndo umekunywa viroba vya mahaba
 
unajua ni ujinga wa hali ya juu kupinga mawazo ya watu na kuona wewe ndo uko sahihi, usitake kila mtu ajipe presha sijui mara dowans, mara gesi mtwara, tuache sisi kwa raha zetu, kama una ubavu, au we ni bingwa na mwanaharakati wa kweli kama mandela, luther king, che guevara andika jina lako original, contact zako halafu anza harakati zako dhidi ya CCM uone nini kitakutokea
 
Looh haya kaka
 
NANI HUYU ANATUCHAFURIA HEWA HUMU NDANI
kuna mkuu alisema humu anayechunguzachunguza mambo yasiyomuhusu ni MCHAWI
ujui JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA.

Jamaa ni mtambo inavyoelekea hajui kama mapenzi ndo maisha yanayotunzunguka wengine hatupendi kwenda kwenye masiasa kwa sababu tunatiana hasira na hili nchi linavyoenda ndo maana kuna hobby na interest watu hawafanani aisee kwani yeye ndo kiranja wa maada hadi tufuate maada anazotaka yeye humu jf.Nimeanza kuwaonea huruma hadi wanae coz huyu ni type fulani ya madingi macomplicator a.k.a wanoko.
 
unajua ni ujinga wa hali ya juu kupinga mawazo ya watu na kuona wewe ndo uko sahihi, usitake kila mtu ajipe presha sijui mara dowans, mara gesi mtwara, tuache sisi kwa raha zetu, kama una ubavu, au we ni bingwa na mwanaharakati wa kweli kama mandela, luther king, che guevara andika jina lako original, contact zako halafu anza harakati zako dhidi ya CCM uone nini kitakutokea

Looh haya kaka
 
watu wanachangia sana kwenye mada za mapenzi hivi sisi watanzania ha2na mamabo ya kufikiri au?

mbona majukwaa mengi bro! Jf ni inakupa uhuru na interest ya kile unachopendelea ktk maisha yako!
 
Ni kwa sababu hili ni jukwaa kwa maswala ya mapenzi na mapenzi huusisha watu wengi, hivyo wachangiaji lazima wawe wengi.
 
Hawa ndo wale wanaoogopa nzi wakati wanauza utumbo,anyway inawezekana kapewa kazi ya kujua aina ya matusi kwa hiyo hapa anafanya research.
 
Kwa hio unataka kulazimisha au kushinikiza tuchangie tusivyokua na interest navyo?.., we kilichokuleta hum cjui nini, em futika fasta
 
wewe utakua umeachwa sio bure ...au kila dem unaemtokea anakulamba kibuti ndo mana unachukia MMU.....tiger woods mwenyew kasaini pre-nup kukubali kutoa nusu ya utajir wake ili arudiane na maiwaifu wake ....chezea mapenz ww
 
Back
Top Bottom