ujinga

ujinga

huna mke?

Msuba huondoa hamu ya mapenzi, tumia kwa kiasi
 
BILA ya MPENZI ungezaliwa wewe??? kuna watu WAWILI they had to get busy usiku mmoja ili wewe utengenezwe....

watu wanachangia sana kwenye mada za mapenzi hivi sisi watanzania ha2na mamabo ya kufikiri au?
 
ukiwa unalog in ndg unakutana na safu ya home pale inakupa mada mbalimbali kama siasa ,mahusiano...n.k sasa sijui ww uoni...au?sasa nani mjinga ww au wana jf? halafu ujinga unapokuwa point A kumbuka unapokuwa point B sio ujinga kwao ndg..tafakari kwanza usilopoke tu..kumbuka mitazamo iko tofautiiii...ujui kutofautisha kat ya A na B..poleeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom