ujinga wa wazazi wengi tanzania

Kuna mwengi behind pazia jamani do not just starting blaming them.
Kuna gender issues - forced sex or rape kwa wanana na waume zao. Kumbukeni katika familia nyingi habari ya uzazi wa mpango bado ni ndoto za alinacha, Mzee amerudi ana 'hitaji" we mama unakimbilia kumsomesha kalenda anaelewa? unamletea mipira anakuelewa? yeye yuko high anachotaka ni kutimiziwa- inakubamba.
Wamama tunafundwa ukiolewa huna amri na mwili wako, huruhusiwi kulala na nguo ya ndani, mzee anarudi na mbili baridi moja moto kichwani, utamwelewesha?? ukimgomea kesi!
Wengine wanaingiliwa hata wakiwa ndo wametoka kujifungua, wakilalamika kuwa wana vidonda wanaambiwa watoe mlango mwingine, wakisema wako MPs wanaambiwa kuna lango mwingine.
Above all abortion ni dhambi, imenasa unafanyaje?? Jamani tambueni kuwa wanawake wenye say ni wachache sana tena kati ya hao wanaojiita wasomi ambao kwa bahati mbaya katika hili wanaonekana hawana maadili. Nenda NBS tizama TDHS ya mwaka 2010 bado inaonyesha watu wenye watoto wengi ni wale ambao wake hawana elimu kubwa.
So kabla hujaanza kuwanyooshea vidole na kuwakaripia kwa sauti ya ukali, wape nafasi wajieleze yanayowasibu.

Nakubaliana na wewe ndugu, aidha watu tunasahau kwamba sex ndio starehe pekee anayoimudu mtu masikini-huko vijijini tutokako jua likituama hakuna kitu kingine cha kufanya zaidi ya kulala-umeme hakuna hivyo hakuna entertainment yoyote aidha tusisahau kwamba wenye kipato kidogo ndio wako fit na hivyo marijali wa kweli kuliko wenye kipato cha juu kutokana na tofauti ya life style
 
...huwezi jua, kati ya hao nane mmoja aweza "watoa" kimasomaso wazazi wake...
tajiri na mali zake, maskini na watoto--- aliimba Remmy Ongala (R.I.P)

wewe una maanisha baba yake Samweli Etoo, JJ Okocha na Anthon Yeboah? sasa wazazi wa namna hii ni wachache wanaoiona nyota ya Jaha lakini walio wengi huishia maisha ya uslopaagazi. Maisha ya kula kwa msuli.

Soma kitabu cha Mike jackson na maisha ya familia yake. Kuna wakati baba yao aliambiwa na motown recorder owner kua atampigia simu wakati wowote ili ampe date ya kwenda record nyimbo. Baba yake mike jackson alipofika nyumbani alipiga marufuku mtu kutumia simu wala kuigusa mpaka motown awapigie!!!!!!!!!!!!!!! unaambiwa jamaa aliwapigia simu baada ya miezi miwili!!!!!!! Ndio maana motown na Mike Jackson hawakuiva chungu kimoja mpaka mautini!
 
Nakubaliana na wewe ndugu, aidha watu tunasahau kwamba sex ndio starehe pekee anayoimudu mtu masikini-huko vijijini tutokako jua likituama hakuna kitu kingine cha kufanya zaidi ya kulala-umeme hakuna hivyo hakuna entertainment yoyote aidha tusisahau kwamba wenye kipato kidogo ndio wako fit na hivyo marijali wa kweli kuliko wenye kipato cha juu kutokana na tofauti ya life style

wengine kabla hawajaanza kuigagadua mbumla, anamtwanga vibao kwanza mkewe ili asithubutu kutoa pingamizi la kutoa penzi!
 
Kuna mwengi behind pazia jamani do not just starting blaming them.

Kuna gender issues - forced sex or rape kwa wanana na waume zao. Kumbukeni katika familia nyingi habari ya uzazi wa mpango bado ni ndoto za alinacha, Mzee amerudi ana 'hitaji" we mama unakimbilia kumsomesha kalenda anaelewa? unamletea mipira anakuelewa? yeye yuko high anachotaka ni kutimiziwa- inakubamba.
Wamama tunafundwa ukiolewa huna amri na mwili wako, huruhusiwi kulala na nguo ya ndani, mzee anarudi na mbili baridi moja moto kichwani, utamwelewesha?? ukimgomea kesi!
Wengine wanaingiliwa hata wakiwa ndo wametoka kujifungua, wakilalamika kuwa wana vidonda wanaambiwa watoe mlango mwingine, wakisema wako MPs wanaambiwa kuna lango mwingine.
Above all abortion ni dhambi, imenasa unafanyaje?? Jamani tambueni kuwa wanawake wenye say ni wachache sana tena kati ya hao wanaojiita wasomi ambao kwa bahati mbaya katika hili wanaonekana hawana maadili. Nenda NBS tizama TDHS ya mwaka 2010 bado inaonyesha watu wenye watoto wengi ni wale ambao wake hawana elimu kubwa.
So kabla hujaanza kuwanyooshea vidole na kuwakaripia kwa sauti ya ukali, wape nafasi wajieleze yanayowasibu.
i salute you, 100% true
 
wanazaa watoto wengi na hovyo hovyo ambao wanashindwa mpaka kuwahudumia matokeo yake wanakaa kulaumu hovyo oh maisha magumu nashindwa somesha familia kama wangekuwa wachache wasingelaumu
Mwenye kuhuisha na kufisha ni mmoja tu! Na kuzaa si ujanja, wapo wengi tu wanao tamani kuzaa na hawakubahatika. Usiwalaumu, zipo instances ambazo wazazi wamejaribu kuzuia kuzaa na bado wakaishia kuwa na watoto zaidi ya walivyotaka, duniani tumekuja kutahiniwa. You never know mtihani wako utakuwaje, hujafa hujaumbika!
 
Back
Top Bottom