Ujinga wa Kanda "Z" ni matokeo yasiyohimilika

KHM 1995

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
461
Reaction score
731
Fikra yoyote huamuliwa na mwanadamu kutokana amedondokea katika mlengo gani, maana mwanadamu huongozwa na hisia, hisia ndio kitu pekee kinachoamua kipi mtu afanye na kipi mtu asifanye.

Tukisema kwamba Mimi viko huru ninajiendesha ninapojisikia tunakuwa tumejidanganya sisi wenyewe huku tukijicheka kwa mwendo wa slow motion, kitu tunachopaswa kufahamu mawazo ya mwanadamu huamuliwa na upande alipo na wala sio utayari.
 
you want to come out from the closet 😬😬😬 hisia zipi
what-felonious-gru.gif
 
Fikra yoyote huamuliwa na mwanadamu kutokana amedondokea katika mlengo gani, maana mwanadamu huongozwa na hisia, hisia ndio kitu pekee kinachoamua kipi mtu afanye na kipi mtu asifanye.

Tukisema kwamba Mimi viko huru ninajiendesha ninapojisikia tunakuwa tumejidanganya sisi wenyewe huku tukijicheka kwa mwendo wa slow motion, kitu tunachopaswa kufahamu mawazo ya mwanadamu huamuliwa na upande alipo na wala sio utayari.
Umebadilisha pusha au ni yuleyule? Kilimbatzz Mbaga Jr
 
Back
Top Bottom