Itakuwa ni huyu mpita njiaJamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize...
Kaka, mbona u mnyonge hivyo?"
Jamaa : 'aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!!
Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize...
Kaka, mbona u mnyonge hivyo?"
Jamaa : 'aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!!