Ujinga tutaacha lini?

Nakumbuka nyakati zile kuna id ya Da Vinci ilikuwa kama ya huyu De Gunner wa siku hizi. Ilikuwa inachangamoto sana na mishangazi ya wakati huo.
We jamaa acha kunifananisha na taka taka

Hakuna kiumbe kama mimi humu
 
Daah wakuu mm sifanani chochote na huyu kijana labda mnafananisha ID. And sijawahi kutafuta mishangazi humu.
Yupo mtu anaitwa @DavinciXIV labda ndo mwamfananisha nae ila sio mimi.
Na wewe ndo wale wale kuna siku umevujisha DM za watu humu, nikakuuliza unapata wapi access ukakosa majibu...

Wewe ndo ambaye unatafuta Kiki kupitia mimi, mshamba wewe
 
Chapisho lako tu linaonyesha una mmbo ya ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…