Ujinga ni.....

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Ujinga ni kulaza gari ya >M80 nje(ccm), wakati mkeo analala ndani....

Weka yako hapa tufurahi pamoja.
 
ujinga ni kununua simu la laki nane halafu msg bado unaandika kwa vidole gumba!!!😱
 
Inategemea ni majira yepi na kipi unakihitaji zaidi kwa wkt huo. Pia kipi waweza kipata kiurahic....
 
Ujinga ni kupanda bodaboda na kuvaa helmet kibishoo as if ajali nayo itakuja kibishoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…