Ujinga ni kutuma sms clouds fm eti unampongeza Obama kushinda uchaguz, ujinga n kumuuliza konda wa daladala mbona hatuondok wakati dreva yupo, ujinga ni kumwombea marehemu ambavyo enzi za uhai wake ulikuwa umwombei, ujinga n kuamin kuwa vyuo vikuu hakuna mambo y kijinga