Fred-el Suárez
Member
- Mar 21, 2012
- 20
- 14
Fred-el Suárez;4955133 said:Ujinga Ni............
1.Ujinga ni Kumenya pili pili.
2.Ujinga ni kuuliza Konda yupo wapi wakati
umepanda piki piki.
3.Ujinga ni Kupiga Kandambili Kiwi.
4.Ujinga ni kesema Rose muhando Malaya cz
anajua hadi utamu wa yesu.
5.Ujinga ni Kumwambia Dereva wa Boda Boda
akuekee Mzigo Kwenye Bootiii.
6.............
7............
Ujinga ni...........
# Hebu tupia Maujinga Mengine ktk reply hapo
Yamenikuta hayo.Ujinga ni kutupia kilauri, halafu ukiamka huna ya kunywa hata chai.
ujinga ni nini
ujinga ni nini
Ujinga ni kuoa wake wengi kisa eti dini inaruhusu
Ujinga ni kuamini kuwa Yesu ndiye Issa.