Ujinga ni........

Ujinga ni........

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
823
Reaction score
216
ujinga ni kwenda bank kutoa fedha kwenye ATM lakini unahesabu tena wakati machine imeshahesabu....Hebu na wewe andika Maada inayoanzia na NENO...UJINGA NI.......
 
ujinga ni kung'arisha kiwi viatu wakati unakwenda piga picha ya pasport size,
 
Ujinga ni ujinga tu,hakuna ujinga mdogo wala mkubwa,wote ni ujinga tu....
 
Ujinga ni kuleta tena upya thread hii wakati tayari ipo humu!
 
ujinga ni kumdai demu vitu ulivyompa baada ya kupigwa kibuti
 
ujinga ni kumwambia konda shusha kituo flani wakati upo kiti cha mbele karibu na deleva
 
ujinga ni kupita makaburi afu ukajisemea kimoyomoyo "hili kaburi ni zuri"
 
issue si kuyaona Preta issue ni kujisemea "hili kaburi zuri" ilhali ndani yake kuna maiti!
 
Last edited by a moderator:
Ujinga ni kwenda msalani na ukimaliza shughuli ndo unaangalia kama maji/TP yapo/zipo kumbe hakuna...........
Hapo unatoka na lundo la manzi.... yaking'ong'a
 
ujinga ni kwenda church bila kuzima cm, afu unaendelea kubrowse jf while padre/mchungaji anaendesha ibada!
 
Ni ujinga kuchangia thread isiyo na mwanzo wala mwisho
 
Ujinga ni kuazima gari la shemeji yako kisha unaweka kishoka huku ukipigia misele mademu.
 
Back
Top Bottom