Zamani sana hii kitu. Zinaitwa bagadu kule kwetu
Mkuu kwenu wapi?Zamani sana hii kitu. Zinaitwa bagadu kule kwetu
Kwetu ni kwa Wanyalu. Tulimtoa baru Von ZelewiskMkuu kwenu wapi?
Hahahaa mkuu nilihisi tu, maana ndio jina ninalolijua pia. Nimeendesha sana bagadu hasa kimtelemkoniKwetu ni kwa Wanyalu. Tulimtoa baru Von Zelewisk
Hahahaa mkuu nilihisi tu, maana ndio jina ninalolijua pia. Nimeendesha sana bagadu hasa kimtelemkoni
Zamani sana hii kitu. Zinaitwa bagadu kule kwetu
Yap ukitoka pale bomani breki ni pale seuta grosary sioNiliwahi kupanda hii kitu upon a time, kwa wenyeji wa handeni kutoka bomani kuelekea chanika mtaelewa hii, eneo hilo pana down kali sana, aisee!!
HahahaZamani sana hii kitu. Zinaitwa bagadu kule kwetu