Ujima ulitufundisha ukakamavu

Ujima ulitufundisha ukakamavu

Hivi vitu niliviona Makambako Mji Mwema kitambo sana mi mwenyewe nilikuwa bwana mdogo mno nafikiri ilikuwa '89. Jamaa walikuwa wanabebea madumu ya maji halafu wakifika kwenye mteremko wanajiachia kinoma
Mkuu ni kweli kabisa nami nimevipanda nikiwa makambako maeneo hayo hayo ya mjimwema. Kulikuwa na vijana wanazitengeneza hatari. Na tairi wanavalisha hii mipira ya baikeli halafu inawekwa na break. Basi break ikikatika na upo kwenye mteremko bora uruke
 
Wasambaa waliita vikwata, tulikuwa na jamaa mmoja kilaza kamaliza darasani ila alikuwa bingwa wa kutengeneza hayo makitu
 
Back
Top Bottom