Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Mchina azua kizaa kariakoo na kurusha kunfu za huku na kule ila wajasiamali waliokaribu walimzibiti na kumpoza.
Kisa chenyewe ni hiki ,huyu mchina alikuwa kidogo anatofauti ya kimaumbile kwani moja kati ya meno yake lilikuwa limetokeza mbele kama pembe ya faru na pale anapouzauza biashara yake huwa wanamwita ujino na alikuwa halipendi jina hilo na aliwahi kuwaonya mtu asimwite kwa jina hilo.
Sasa siku moja aliingia kwenye mgahawa na kutaka uji ,aliingia kwa mbwembwe huku akiwa na furaha tele na zaidi alinadi alipoingia tu..." nataka ujih ,lete uji ' sasa kwa wakati aliokwenda uji ulikuwa umeishamaliza ,bila ya kujua mhudumu aliekuwepo nae alijibu kwa sauti huku akichanganya kizungu na kiswahili kwani na yeye alimjibu mchina kwa sautu kubwa "...Uji no " ,mchina kidogo alichanganyikiwa ,akasema tena wacha masihara nina njaa lete uji bana do mhudumu akaja juu akifikiri hajafamika ,huku akielekea kwenye meza ingine akisema ..Ujino uji no ujinooooo ,sasa unataka nini kingine ,dah mchina kusikia hivyo haijulikani aliruka vipi na kumtandika jamaa teke la kitekiwando ,mhudumu chini akijipapatua na viti ,mhudumu kunyanyuka watu wakamuuliza kwani vipi broo mbona mchina kakuweka chini ,kaniambia anataka nikamjibu Uji no ,dah kusikia mchina kaja tena juu ila jamaa walimuwahi na kumzuia ,huku mchina akitoa matusi kwa kichina ila hayakufahamika.