Ujerumani: anayekataa kufanya ukahaba kunyimwa misaada

Sideeq

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
2,422
Reaction score
435
A 25-year-old waitress who turned down a job providing "sexual services'' at a brothel in Berlin faces possible cuts to her unemployment benefit under laws introduced this year.

Prostitution was legalised in Germany just over two years ago and brothel owners – who must pay tax and employee health insurance – were granted access to official databases of jobseekers.

The waitress, an unemployed information technology professional, had said that she was willing to work in a bar at night and had worked in a cafe.

She received a letter from the job centre telling her that an employer was interested in her "profile'' and that she should ring them. Only on doing so did the woman, who has not been identified for legal reasons, realise that she was calling a brothel.

Under Germany's welfare reforms, any woman under 55 who has been out of work for more than a year can be forced to take an available job – including in the sex industry – or lose her unemployment benefit. Last month German unemployment rose for the 11th consecutive month to 4.5 million, taking the number out of work to its highest since reunification in 1990.
...
"They are already prepared to push women into jobs related to sexual services, but which don't count as prostitution,'' she said.
"Now that prostitution is no longer considered by the law to be immoral, there is really nothing but the goodwill of the job centres to stop them from pushing women into jobs they don't want to do."
Source:'If you don't take a job as a prostitute, we can stop your benefits' - Telegraph
 
Vituko vya wazungu hivi!
Lakini ajabu ni kwamba wanataka at least kila mtu afanye kitu fulani kwa wakati, na si kuwa 100%tegemezi!
 
Alafu tunasema wenzetu wanawake wamekombolewa na kujikomboa....

Hii ni dhahiri women will never be equal to Men. Period! Sad but true....
 
kuwa equal Kwa maadili ya wazungu ni ndoto

Achahasira nikikusoma kama nimekuelewa vile... But not sure, Please if you don't mind una maaana gani unaposema "kua equal kwa maadili ya kizungu"?
 
A 25-year-old waitress who turned down a job providing "sexual services'' at a brothel in Berlin faces possible cuts to her unemployment benefit under laws introduced this year.

Prostitution was legalised in Germany just over two years ago and brothel owners – who must pay tax and employee health insurance – were granted access to official databases of jobseekers.

Source:'If you don't take a job as a prostitute, we can stop your benefits' - Telegraph

Hii sheria inawabana wanawake tu au hata wanaume ambao wako same situation kutokuwa na kazi muda mrefu wanaweza kupewa hii kazi na akalazimika kuifanya na akikataa sheria inaweza kufuata mkondo au...?
 
Achahasira nikikusoma kama nimekuelewa vile... But not sure, Please if you don't mind una maaana gani unaposema "kua equal kwa maadili ya kizungu"?

dada yangu,kwa mtizamo wangu ni kuwa mataifa ya kimagharibi yamekuwa yaki jinadi sana kuhusu haki za wanawake.lakini cha kushangaza ni kuwa wanawake wamechukuliwa kama sex tool.na hili ni dhahiri katika mambo mbali mbali kama mavazi na umiss.
Hichi kitendo kina wadhalilisha wanawake wengi bila hata wao kujua.nacho maanisha hasaa ni kuwa maadili ya kimagharibi yatagombania sana wanawake kuwa sex tool na mwishoni hapawezi kupatikana usawa tena.
 
German need Shariah Law (or Kadhi court)
 
nadhan wengi mlio comment apa hamjaelewa, serikali ya kijerumani inatoaga benefit kwa watu wote regardless kwa jinsia kwa wasio na kazi lakini kilichotokea ni kwamba kazi za ukahaba pia kwao ni halali na kama ulikua offered ukakataa basi hulazimishwi kufanya ila ndo wanakata benefit! ukiangalia issue ya maadili ina pande nyingi sana huyo anayejifanya hataki kufanya iyo kazi benefit unazopewa pia zinatokana na walipa kodi wanaofanya hiyo biashara mbona pesa zao unazipokea!
 
Tatizo ni huyu mwanamke akilazimika kuikubali hii kazi kwa kuogopa kunyimwa msaada "kufa njaa", je kuna tofauti gani na anayemkaba akalazimika kuuachia uch wake ili asimuue?..............serikali husika na mbakaji wote ni wabakaji hapa, binafsi sioni tofauti yoyote.
 
Nakuunga mkono kwa sana ndugu.Huu ni unyanyasaji mkubwa sana wa wanawake.Lkn cha ajabu haya ndio maendeleo!!!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni....

Hii habari haina ukweli wowote, sheria ya unemployment benefit ipo, lakini haikulazimishi kuwa ukiwa huna kazi unatakiwa ukubali kazi yoyote. ili usifall kwanye lower Third class citizens, hawa ni wale ambao hawana kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja na bado hawajapata alternative yoyote ya kujinasua from unemployment hivyo kuishi kwa kutegema serikali 100%.

Lakini haulazimishwi kufanya kazi usioitaka, isitoshe kuwa kahaba. .....I stand to be correct.
 
Hili la kulazimishana kufanya kazi ya ukahaba walijaribu kuli impliment kwa huyo mwanamke, walipopata upinzani wakaacha, wakalaumu vyombo vya habari kwa kuli spin, politised, exaggeration.
Usishangae wakati wowote watakapoona unafaa kulifanya wakalifanya kwa sababu kanuni ipo bado haijafutwa!
 
Alafu tunasema wenzetu wanawake wamekombolewa na kujikomboa....

Hii ni dhahiri women will never be equal to Men. Period! Sad but true....
............... Mwanamke wa Magharibi amekombolewa ............... ! haswa katika Taifa safi la Kikristo !!:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom