Ujenzi Zanzibar

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,607
3,400
Kwa muda nipo kikazi hapa Maisara, nilichogundua ujenzi hapa upo juu sana kwa maana ya material hasa mchanga na mawe. Nimepita sehemu hizo tofali ni za udongo fulani hivi wanachanganya cement. Tofali inakuwa nzito balaa.

Nashauri wataalam wa ujenzi huko mamlaka hebu tufanye tafiti low cost materials jinsi ya kujenga nyumba ambazo tutapunguza gharama labda zile tofali mathalan za kupanga kama South Africa. Mana trip ya mchanga sasa imekuwa juu.
 
Back
Top Bottom