Ujenzi wa Subway Trains jijini Dar

Underground subways za train zippo SA, Hivyo si sahihi kusoma Africa yote hamna
 


Kwa hali ya Tanzania na maliasili tulizonazo tuna uwezo kabisa w kuwa na vitu kama hivi.




MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kwa hali ya Tanzania na maliasili tulizonazo tuna uwezo kabisa w kuwa na vitu kama hivi.




MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Hahahahahah sisi wa kazi wa Dar ndoo tunapata shida sana



wenyewe ndoo kwanza wanaiba mara ya mwisho mwisho maana hawajui kama watapata tena idhini ku kukaa nafasi walizonazo sasa
 
Gesi si mnayo nyingi tu songosongo
Tatizo liko wapi?

Tatizo lipo kwa hiyo gesi mnawezaje kuitumia! Je hii gesi tunanufaika nayo kama tunavyoambiwa au tunabaki na sifa ya kuwa Tanzania tunazalisha gesi tu!!?
 
Tunashindwa kumaintain reli ya kati iliyojengwa na mkoloni tutaweza subway jamani!
 
Tuanze na treni za kawaida kwanza...kama hizi za kawaida tumeshindwa kuziendesha subway ni ndoto za alinacha!BRT ni jibu rahisi na dogo kwa swali gumu na refu hapa jijini Dar.
 

Kumbe basi MABILIONI YOTE wanayofisidi tunayoyajua na tusiyoyajua, tungeweza kuwa na kilometa nyingi zaidi za BRT Dar kama siyo subways!!
 
Hivi Tanzania ni Dar pekee? si ondokeni mrudi vijijini kwenu.

Mie niko kwetu Mkuranga.
 
Mkuu ni kujipanga tu.
Kama Ethiopia wenye njaa Kali choka mbaya wameweza sembuse sisi Tanzania

Mkuu umeongea kwa hisia kali ni kweli ethiopia hawana resource za kutosha kutushinda sisi ila kwa ss wale wana vitega uchumi kama ethiopian airliner ambayo wana fleet 56 hapo ni 787 dream liner na airbus wanazo sisi hata ndege moja ukiondoa ya Rais hatuna na jana nimesoma ktk taharifa zao wame order kutengenezewa fleet 36 ndio shirika lenye ndege na safari nyingi dunian linalotoka Africa. Sisi tuna kila kitu ya kuzizidi nchi nyiingi za Africa tatizo ufisadi na kukosa maaharifa. Adis kuna hotel five star za kutosha hakuna mkoa tz ambao una hotel nying na bora kama Adis Ababa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…