Ujenzi wa Stigler's Gorge H.E.P

Ujenzi wa Stigler's Gorge H.E.P

Soma acha uvivu,mtembelee hata profesa Google atakujibu

Usidhani wote humu wapumbavu na hawajui how HEP is generated, Mada hii imeletwa humu, inajadiliwa humu, Unaulizwa swali jibu swali na uweke facts. Hii ni science siyo siasa, end results katika science lazima zionekane either kwa research ama kwa real practical, acha siasa na Jibu swali katika HEP carbon dioxide inakuwa generated katika stage gani ya production.? Maporomoko yanatengeneza carbondioxide.? Au hiyo carbondioxide inatengenezwa katika turbine.? Au maji yakiwekwa katika bwawa yanatengeneza carbon dioxide.?
 
kumbe Gas haitoshi kutupa umeme waTz...kweli tutakua tumedang'anyawa sanaa kwa kipindi kirefu..
 
Hujui kuwa H.E.P stations ni moja ya emitters wakubwa wa C02? Japo kwangu sioni kuwa kutoa C02 ni tatizo maana ni insignificant kwetu na ndio,refer Kyoto protocol.
Swala ni wapi gesi,wapi upepo,wapi makaa ya mawe,wapi solar power!!!Kuhusu 1/3 ya eneo kutumika usipinge bila kuwa na labda mabadiliko ya leo,otherwise eneo lililotengwa ndio hilo,1/3 ya eneo zima la hifadhi.
unajua kuwa Selous Game reserve ina mita za mraba 21,081 ( 21,081 m2)?
kwa maana hiyo unavyodai kuwa 1/3 ya 21,081 m2 = 7,027 m2, hilo ni eneo kubwa mno ambalo kiuhalisia huo mradi hauwezi kulichukua lote, jamani kuweni na data ndipo mlaumu, vinginevyo mtaonekana watu wa ajabu sana.
 
Wewe
Usidhani wote humu wapumbavu na hawajui how HEP is generated, Mada hii imeletwa humu, inajadiliwa humu, Unaulizwa swali jibu swali na uweke facts. Hii ni science siyo siasa, end results katika science lazima zionekane either kwa research ama kwa real practical, acha siasa na Jibu swali katika HEP carbon dioxide inakuwa generated katika stage gani ya production.? Maporomoko yanatengeneza carbondioxide.? Au hiyo carbondioxide inatengenezwa katika turbine.? Au maji yakiwekwa katika bwawa yanatengeneza carbon dioxide.?
Sawa mtoto mzuri,unataka kutafuniwa;
Haya soma hapo;
Hydroelectric power’s dirty secret revealed

By Duncan Graham-Rowe

dn7046-1_567.jpg

Hydropower polluters
Contrary to popular belief, hydroelectric power can seriously damage the climate. Proposed changes to the way countries’ climate budgets are calculated aim to take greenhouse gas emissions from hydropower reservoirs into account, but some experts worry that they will not go far enough.

The green image of hydro power as a benign alternative to fossil fuels is false, says Éric Duchemin, a consultant for the Intergovernmental Panel on Climate Change (IPCC). “Everyone thinks hydro is very clean, but this is not the case,” he says.

Hydroelectric dams produce significant amounts of carbon dioxide and methane, and in some cases produce more of these greenhouse gases than power plants running on fossil fuels. Carbon emissions vary from dam to dam, says Philip Fearnside from Brazil’s National Institute for Research in the Amazon in Manaus. “But we do know that there are enough emissions to worry about.”

In a study to be published in Mitigation and Adaptation Strategies for Global Change, Fearnside estimates that in 1990 the greenhouse effect of emissions from the Curuá-Una dam in Pará, Brazil, was more than three-and-a-half times what would have been produced by generating the same amount of electricity from oil.

This is because large amounts of carbon tied up in trees and other plants are released when the reservoir is initially flooded and the plants rot. Then after this first pulse of decay, plant matter settling on the reservoir’s bottom decomposes without oxygen, resulting in a build-up of dissolved methane. This is released into the atmosphere when water passes through the dam’s turbines.

“Drawdown” regions
Seasonal changes in water depth mean there is a continuous supply of decaying material. In the dry season plants colonise the banks of the reservoir only to be engulfed when the water level rises. For shallow-shelving reservoirs these “drawdown” regions can account for several thousand square kilometres.

In effect man-made reservoirs convert carbon dioxide in the atmosphere into methane. This is significant because methane’s effect on global warming is 21 times stronger than carbon dioxide’s.

Claiming that hydro projects are net producers of greenhouse gases is not new (New Scientist print edition, 3 June 2000) but the issue now appears to be climbing up the political agenda. In the next round of IPCC discussions in 2006, the proposed National Greenhouse Gas Inventory Programme, which calculates each country’s carbon budget, will include emissions from artificially flooded regions.

But these guidelines will only take account of the first 10 years of a dam’s operation and only include surface emissions. Methane production will go unchecked because climate scientists cannot agree on how significant this is; it will also vary between dams. But if Fearnside gets his way these full emissions would be included.

With the proposed IPCC guidelines, tropical countries that rely heavily on hydroelectricity, such as Brazil, could see their national greenhouse emissions inventories increased by as much as 7% (see map). Colder countries are less affected, he says, because cold conditions will be less favourable for producing greenhouse gases.

Despite a decade of research documenting the carbon emissions from man-made reservoirs, hydroelectric power still has an undeserved reputation for mitigating global warming. “I think it is important these emissions are counted,” says Fearnside.
 
unajua kuwa Selous Game reserve ina mita za mraba 21,081 ( 21,081 m2)?
kwa maana hiyo unavyodai kuwa 1/3 ya 21,081 m2 = 7,027 m2, hilo ni eneo kubwa mno ambalo kiuhalisia huo mradi hauwezi kulichukua lote, jamani kuweni na data ndipo mlaumu, vinginevyo mtaonekana watu wa ajabu sana.
Sasa unanishangaa mimi au unashangaa wanaoandaa na waliotenga eneo hilo?
 
Haa we jamaa, 1/3 ya selou itatumika hii data ni ya kweli? Selou ni mbuga kubwa sana. Haiwezekani mradi mmoja utumie eneo lote hilo
Wapotoshaji tushawajua...! Yaani naelekea kuwaweka kwenye kundi la Blaise Compaure anayetuhumiwa kumuua Thomas Sankara (R.I.P) kwa kushirikiana na magaidi wa Kifaransa. Sankara (R.I.P) alikuwa kijana mdogo aliyeibadilisha Burkina Faso kwa muda mfupi karibu chini ya miaka minne. Blaise alikuwa rafiki mkubwa sanaa tena toka utotoni wa Thomas, lakini kwa tamaa za kujilimbikizia mali akamuua rafiki
 
Wewe

Sawa mtoto mzuri,unataka kutafuniwa;
Haya soma hapo;
Hydroelectric power’s dirty secret revealed

By Duncan Graham-Rowe

dn7046-1_567.jpg

Hydropower polluters
Contrary to popular belief, hydroelectric power can seriously damage the climate. Proposed changes to the way countries’ climate budgets are calculated aim to take greenhouse gas emissions from hydropower reservoirs into account, but some experts worry that they will not go far enough.

The green image of hydro power as a benign alternative to fossil fuels is false, says Éric Duchemin, a consultant for the Intergovernmental Panel on Climate Change (IPCC). “Everyone thinks hydro is very clean, but this is not the case,” he says.

Hydroelectric dams produce significant amounts of carbon dioxide and methane, and in some cases produce more of these greenhouse gases than power plants running on fossil fuels. Carbon emissions vary from dam to dam, says Philip Fearnside from Brazil’s National Institute for Research in the Amazon in Manaus. “But we do know that there are enough emissions to worry about.”

In a study to be published in Mitigation and Adaptation Strategies for Global Change, Fearnside estimates that in 1990 the greenhouse effect of emissions from the Curuá-Una dam in Pará, Brazil, was more than three-and-a-half times what would have been produced by generating the same amount of electricity from oil.

This is because large amounts of carbon tied up in trees and other plants are released when the reservoir is initially flooded and the plants rot. Then after this first pulse of decay, plant matter settling on the reservoir’s bottom decomposes without oxygen, resulting in a build-up of dissolved methane. This is released into the atmosphere when water passes through the dam’s turbines.

“Drawdown” regions
Seasonal changes in water depth mean there is a continuous supply of decaying material. In the dry season plants colonise the banks of the reservoir only to be engulfed when the water level rises. For shallow-shelving reservoirs these “drawdown” regions can account for several thousand square kilometres.

In effect man-made reservoirs convert carbon dioxide in the atmosphere into methane. This is significant because methane’s effect on global warming is 21 times stronger than carbon dioxide’s.

Claiming that hydro projects are net producers of greenhouse gases is not new (New Scientist print edition, 3 June 2000) but the issue now appears to be climbing up the political agenda. In the next round of IPCC discussions in 2006, the proposed National Greenhouse Gas Inventory Programme, which calculates each country’s carbon budget, will include emissions from artificially flooded regions.

But these guidelines will only take account of the first 10 years of a dam’s operation and only include surface emissions. Methane production will go unchecked because climate scientists cannot agree on how significant this is; it will also vary between dams. But if Fearnside gets his way these full emissions would be included.

With the proposed IPCC guidelines, tropical countries that rely heavily on hydroelectricity, such as Brazil, could see their national greenhouse emissions inventories increased by as much as 7% (see map). Colder countries are less affected, he says, because cold conditions will be less favourable for producing greenhouse gases.

Despite a decade of research documenting the carbon emissions from man-made reservoirs, hydroelectric power still has an undeserved reputation for mitigating global warming. “I think it is important these emissions are counted,” says Fearnside.

Nimesoma hiyo report yako, kwanza kiwango kinachohofiwa ni Methane ambayo ni greenhouse gas. CO2 ipo kwa kiwango kidogo. Haya yote yanatokana na living matters zinazokuwa submersed katika bwawa, kwani zmatters ambazo zinainclude mozoga na miti ikiwa deposited chini ya bwawa huoza na kusababisha Methane na Co2. Hata hivyo hiyo makala uliyoileta hapa, bado hawana conclusive scientific fact kuwa hiyo effect ni must kwa mabwawa yote. Hivyo hata hao waandishi wa makala, wamesema hawajaja na jibu la mwisho, kwani bado wameacha maswali.

Hata hivyo, hayo mabwawa yasipojengwa, bado miti itaendelea kuwepo katika mito na itaendelea kuoza anyway. so hakuna cha kukwepa hapo.
 
Swala sio uchafuzi wa mazingira ndugu,unajua kuwa nchi zinazoendelea hazitakiwi kujibana kwenye kutoa hewa ukaa ili angalau zijenge viwanda? Swala sio mazingira.Swala ni vipi ahadi tulizopewa kuhusu gesi,makaa ya mawe,upepo etc.Kwanini tuendelee kutegemea maji ya mvua wakati tunazo unlimited resources kama wind & solar powers? Hivi unajisikiaje kuona jua kali linakuumiza halafu linapotea hivihivi wakati tungeweza kulivuna kwa ajili ya viwanda vidogo na majumbani?
Swala ni vipaumbele
 
Serikali ipo mbioni kujenga chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme ndani ya Hifadhi ya Seleou.Ni kwamba 1/3 ya eneo lote litatumika.Naunga mkono serikali kujiamulia namna nzuri ya kujiletea maendeleo kwa kutumia rasilimali zake bila kuingiliwa na wazungu.Tanzania ya "viwanda" bila shaka inahitaji umeme zaidi.Hofu yangu ni;

1.Environmental Impact Assessment ilifanyika siku nyingi,1980's.Hatujambiwa kama kuna ecological na economical divergences zilizotokea kwa kipindi hichi kirefu.

2.Tuliaminishwa kuwa ungunduzi wa gasi asilia ungetatua matatizo yote ya umeme nchini na tungeuza ziada nje.Sijui nini kimetokea mpaka tuanze kutaka kutafuta reserve zingine ambazo labda zina athari za ki ecologia na kimazingira.

3.Tuliambiwa nchi ina mkondo wa upepo huko Singida ambao ungeweza kuzalisha umeme mwingi,na kazi ni kuweka tu mitambo ya kubadilisha nishati moja kwenda nyingine.Hatuambiwi huu upepo unaleta faida gani kiasi kwamba tuendelee "kuufuga" bila kuutumia.

4.Jua linawaka sana Tanzania,kwanini hatulitumii kutengenezea umeme mpaka tuharibu vyanzo vyetu vingine vya kiuchumi kwa kujenga hilo Stigler's gorge? Huwa inaniumiza sana kuona backup ya umeme kwenye taasisi nyingi ni majenereta yanayotumia mafuta mengi badala ya kuweka solar pannels.
Naishauri serikali iangalie potentiality ya fursa zote za kuzalisha umeme kabla ya kuanza kuchimba huko Seleou.

Kama umeme wa gesi tulioaminishwa tutauza nje haujatosheleza ndani,je,tuamini wa Stigler's gorge utatosheleza au ni kudanganyana tu!

Ni valid questions ambazo zinahitali majibu ya wataalam wa uchumi,mazingira na mitambo(engineers).Wajitokeze basi na sisi tupatemo!
 
Wabongo tuna tabia ya ushabiki sana,mtu hajafanya hata karesearch kadogo anakurupuka kuanzisha mada asiyo na uelewa nayo na bado anakomaa kuelewesha wenzake mambo asiyoelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa viongozi wetu ni chenga chenga, lile bomba la gesi walilipamba na kuchapa mitama wamakonde wa watu
 
Swala sio uchafuzi wa mazingira ndugu,unajua kuwa nchi zinazoendelea hazitakiwi kujibana kwenye kutoa hewa ukaa ili angalau zijenge viwanda? Swala sio mazingira.Swala ni vipi ahadi tulizopewa kuhusu gesi,makaa ya mawe,upepo etc.Kwanini tuendelee kutegemea maji ya mvua wakati tunazo unlimited resources kama wind & solar powers? Hivi unajisikiaje kuona jua kali linakuumiza halafu linapotea hivihivi wakati tungeweza kulivuna kwa ajili ya viwanda vidogo na majumbani?
Swala ni vipaumbele

Swala ni bajeti na bei ya umeme. Stieglers gorge imekadiriwa kutengeneza takriban zaidi ya GW 2 za umeme. Hakuna system ya umeme itakayotengeneza GW hizo kwa bei hii iliyokuwa quoted hapo juu.
 
Unajua EIA ya pale Stigler's gorge ni ya mwaka gani? Tafuta taarifa vizuri.Bei ya 1980's sio bei ya 2017!
No more comment on this;bye!
 
Aisee my friend, bei ilikuwa quoted kwa USD. Mwaka 1980 USD/TSh ilikuwa na exchange rate ya 2240.?
 
Mkuu, 1/3 sio 0.33% bali ni 33%.
Mkuu hiyo hesabu upo sahihi. Namimi hiyo 0.33 nimebadili 1/3 toka fraction to double floating number not percentage. Ila ukibadili kwenye asilimia utapata hiyo uliyosema mkuu. We are talking the same thing.
 
Swala sio uchafuzi wa mazingira ndugu,unajua kuwa nchi zinazoendelea hazitakiwi kujibana kwenye kutoa hewa ukaa ili angalau zijenge viwanda? Swala sio mazingira.Swala ni vipi ahadi tulizopewa kuhusu gesi,makaa ya mawe,upepo etc.Kwanini tuendelee kutegemea maji ya mvua wakati tunazo unlimited resources kama wind & solar powers? Hivi unajisikiaje kuona jua kali linakuumiza halafu linapotea hivihivi wakati tungeweza kulivuna kwa ajili ya viwanda vidogo na majumbani?
Swala ni vipaumbele
Unajua gharama ya kulivuna hilo jua? Mbona unatoa hotuba kwenye mambo ya kitaalam.
Fafanua gharama ya kuupata huo umeme kwa njia zote mbadala, halafu ndiyo ueleze hayo uliyosema hapo juu na siyo kuyasema hayo halafu ndio uanze ku-google points.
 
Back
Top Bottom