Ujenzi wa Mapiramidi Misri

Ally Ngowo

Member
Feb 24, 2015
86
19
365809332e875f58e20c94e69d5a3109.jpg
 
Watumwa wa kiyahudi ndio waliofanya kazi ya ujenzi wa mapiramidi,leo hii wayahudi ndio wanaiyawala dunia kiteknolojia!
 
Hakuna anayejua mapiramidi yalijengwa vipi, wanatoa theory Tu. Hao wayahudi zamani hawakuwa wazungu Kama ilivyo sasa. Historia imechakachuliwa
 
mbona hakuna ujenzi wowote unaondelea hapo... hao ni watalii tu..
 
Mwanadamu nini Mwakitafuta? Wanchunguzi wa Mambo wanasema yana miaka mingi sana hivyo yalikuwepo before Adam?
 
Back
Top Bottom