Ujenzi wa majengo ya chuma steel erection

Ujenzi wa majengo ya chuma steel erection

Tuombe mods ahamishe huu uzi kwenye matangazo ya biashara ili usipotee haraka. Nitakutafuta mkuu, sema kwa sasa kuna mambo nataka kamilisha kwanza ila in 6 months nitakua tayari kuanza project yangu. Hivyo naomba uni PM tu contact zenu ili mda ukifika nikianza ku survey options niweze kupia kwenu pia. Asante.
Inakuwaje bado unahitaji jengo?

Sent using Damu ya Yesu
 
Back
Top Bottom