Ujenzi wa lenta kwa nondo 3 unafaa?

Sasa asiposuka zitakaaje ∆ ?
 
Sasa asiposuka zitakaaje ∆ ?

Unazikata na kuzitandaza kabisa kule kwenye box za linter, wakati unamwaga zege ndo unazinyanyua zikae ktk umbo hilo sasa. Niliona fundi wangu anafanya hivyo.
 
3,,,,!! hata mbili za milimita10 zinatoboa na mjengo unatulia tuliii,, hamna nyufa wala nn
 
Yah itakuwa bora,nadhani wengi ndo tunavyoweka mimi niliweka mbili kwenye kiuno cha msingi lintel nikaweka tatu nyumba ilinyeshewa mvua siyo chini ya miaka saba na sehemu niliyojenga palikuwa na udongo wa mfinyanzi ila nyumba haikupata crack yoyote.
 
Wewe utakufa kwa kuangukiwa na paa ukiwa umelala
Kachukue kijana mwenye diploma tu atakuchorea nyumba na kukuwekea gharama za ujenzi kwa bei nafuu
Kwa njaa yake huyo fundi kuna siku atakuambia mtumie springi za malori badala ya nondo
Spring nzuri na imara hivyo??? Kuna jamaa aliwaachia mafundi hela kumbe badala ya nondo wameweka mirunda............ALIJUAJE????....siku moja ameita mafundi waongeze rumu kwa nje kwa kuattach kwenye main house .....jamaa wamefikia usawa was lenta wanatindua ili waunganishe nondo....wanakutana na mirunda!!!!!!!!
 
Nondo huwekwa kwenye nyumba kulingana na uzito itakaoupokea juu. Hivo inategemea inasquare miter ngapi, ila kwa nyumba yenye vyumba kama vitatu nne na sitting room moja nondo mbili na nyumba haiangunki ng'o na kama ni zaid ya hapo piga tatu mm 12 na zifungwe vizur..triangle. hivo
 
Hivi sehemu iliyo tambarare kati ya kuweka msingi Wa mawe na Matofali upi bora? Na upi unaokoa gharama?
Msingi wa mawe unagharama kubwa ukilinganisha na msingi wa matofali gharama za msingi wa mawe huwa kwenye saruji, na gharama za ujenz kwa fund, ila ni imara zaid kama mawe yamepangwa vizur na fundi mzur. Msing wa matofali hauna gharama zaid ila ni hafifu sana ukilinganisha na wamawe
 
Ukizifunga kwa mtindo wa pembe tatu sawa pande zote...bado symmetry haipatikani?
 
Yah itakuwa bora,nadhani wengi ndo tunavyoweka mimi niliweka mbili kwenye kiuno cha msingi lintel nikaweka tatu nyumba ilinyeshewa mvua siyo chini ya miaka saba na sehemu niliyojenga palikuwa na udongo wa mfinyanzi ila nyumba haikupata crack yoyote.
Ndio nataka kufanya hivi na mimi, 2 za mm 12 kwenye msingi wa mawe na tatu kwenye lintel
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…