impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,732
- 7,611
Kukaa tu hata ukiweka mti unakaa tatizo mzigo unaokuja juu naona hatutaelewana Mimi ni mjenzi mtaalamu ninafahamu ninachosema bahati mbaya sifanyi kazi za nondo mbili nitakutupia kazi yakoMbili zinakaa fresh tu acha ubishi.
Kikanuni kabisa inatakiwa 4.
Ila kiuchumi ndio mtu inabidi ubane tu matumizi.