Katika dunia hii huwa nawakubali:
1. Wajapani & wajerumani, hawa ni super engineers. Wana akili sana kwenye haya mambo, wanaweza kukufanyia kitu cha ajabu ukashindwa kuamini...
2. Wamarekani: hawa ni noma kwenye softwares, wanaweza kukutengenezea software na usijute...
3. Waholanzi na waisrael: hapa ndo modern agriculture imelala, wanaweza kuigeuza eka yako moja kulisha familia yako mwaka mzima na usinunue chakula kwingine.
4. Brazil: hapa ndo nyumbani kwa soka, wana vipaji hadi unaogopa...
5. Switzerland: hawa na genious kwenye maswala ya fedha, wanajua kuichannel hela hadi ikuletee faida..
Simply they are the best...