Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Mkuu weka nyama ya kutosha,usiishie hewani,maana wengi tuna altitude ya namna hiyo.kwa hiyo utuelimishe.Unatamani kulala juu ya ghorofa? Nchi kama Singapore watu wengi wanatamani japo siku moja tu walale nyumba ya chini, ground floor,Europe wengi wanatamani wangekua na uwezo wa kupata kiwanja ili wajenge nyumba ya chini! Anyway good lucky ila naamini ukisha lala ghorofani utaijua thamani ya kua na Nyumba ya chini,naongea kwa experience niliyoipitia.
kha!,kha!kha!!!,we jamaa unataka kuvunja tu,mbavu za watu humu.garama zote hizo za nini.we tafuta seremala chonga double decker kama za shule ya boarding kazi kwisha hamu haipo tena .kama ikijirudia tandika godoro juu ya dari maisha yanasonga
Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...
Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....
Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....
Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......
Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....
Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......
Naamini umeelewa mkuu! Karibu!
Build with us!
Ndio sio real , hiyo ni picha kutoka kwenye computer....ni project ambayo inaanza soon...
na huo mshahara wake piaUngespecify kabisa ukubwa .... na desihn ya vyumba + idadi na material gani itumike maana kuna ghorofa hadi za contenna za gari mkuu 🙂🙂🙂🙂
Nyie ndo v.ilaza kama akina Jes.ca aliyekwambia ni nyumba halisi nani??Hizo picha za nyumba siyo halisi kabisa
labda bado dengue inasumbua [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Daaaaaa........garama zote hizo za nini.we tafuta seremala chonga double decker kama za shule ya boarding kazi kwisha hamu haipo tena .kama ikijirudia tandika godoro juu ya dari maisha yanasonga
Tos jibu kwa nini hawataki kuishi gorofani.. Mbona unadengua kama demuJibu la kitu gani? Uwe unasoma comment na kuzielewa vizuri kabla ya kucomment.
Huwa natamani sana nilale kwenye ghorofa sasa katika pitapita zangu nikapata wazo la kujenga ghorofa moja chini kuwe sehemu ya kupikia tu na juu pa kulala.
Je naanzaje kupata vibali vya ujenzi? Kiwanja hakijapimwa lakini kipo maeneo ya makazi ya watu na wanaishi na kitanikosti kiasi gani kupata kibali na inawezekana kujenga hiyo floor ya juu kwa kutumia mshahara
Mtoa mada nilivomuelewa hapo ni sehemu ya makazi, that means pana mchoro wa mipango miji.Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...
Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....
Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....
Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......
Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....
Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......
Naamini umeelewa mkuu! Karibu!
Build with us!
Usichukulie experience ya nchi zawenzetu na bongo kuleviwanja ni shida mjini ukienda Huko kwenye viwanja mbn watu wamejenga ma mansion yenye ghorofaa so uzi wako hausiani kabisa na vibe ya huyojamaa kutaka kukaa ghorofaniiUnatamani kulala juu ya ghorofa? Nchi kama Singapore watu wengi wanatamani japo siku moja tu walale nyumba ya chini, ground floor,Europe wengi wanatamani wangekua na uwezo wa kupata kiwanja ili wajenge nyumba ya chini! Anyway good lucky ila naamini ukisha lala ghorofani utaijua thamani ya kua na Nyumba ya chini,naongea kwa experience niliyoipitia.
mambo vipi ndugu?Naweza pata nambaako?
One...
Huyu ni Mwandaaji wa BOQ si mjenzi mkuu. Ukitaka mjenzi mtembelee huyu FUNDI MAHIRI WA UJENZI instagramMkuu weka sample ya kazi zako ulizozifanya na mawasiliano yako pia.
Mkuu usisahau kunipa hiyo tenda. Mambo ya vibali nitakusimamia...na mtu akitaka kuvunja nyumba ya chini na kujenga ka-lodge ka kizushi ka ghorofa 1 napo inabidi apitie this whole process mkuu?
Nipe hiyo kazivery informative,,lakini hivi hakuna kampuni inayoweza kunifanyia hizi process wakati mi nikiwa nimejinyosha,,unajua sipendi sana mizunguko zunguko.?