Kuna watu kila kitu wanataka kupiga. Inatia aibu na huruma sanaSometimes huwa nafikiri Tanzania haistahili watu viwango vya akina Magufuli.
Nchi ya kipuuzi sana hii.
Nyie si ndio makada na serikali yote yenu, na mikoba yote mnayo nyie, sasa hujuma anafanya nani kama sio nyie wenyeweKabisa mkuu.
Kuna mijitu ina tamaa kupitiliza
Ni aibu kwelikweli, siwapendi CCM lakini JPM kwa hili daraja nilimsifu na bora alilazimisha likajengwa maana lisingejengwa milele , nasikia linaunganisha nchi tatu na mikoa yote ya kanda ya ZiwaKuna watu kila kitu wanataka kupiga. Inatia aibu na huruma sana
Hili Daraja la Kigongo hata lisipomaliziwa na wanafiki waliopo madarakani sasa, amin nawaambia ipo siku LITAKAMILIKA!!!Hili ndo lile daraja shetani jiwe aliimiza lijengwe haraka haraka.
Sababu lisipoisha kipindi yeye yupo madaarkani rais atakayemfatia anaweza akasitisha ujenzi wake.
Jiwe alikuwa mbaguzi sana sijui kwanini mataga wanamuona kama shujaa.
Chadema wanamsaliti mama
CHADEMA hapo wameingiaje au jina limeshazoeleka midomoni kwenu
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kuwa ujenzi wa daraja refu zaidi Afrika Mashariki la Magufuli linalojengwa kukatiza ziwa Victoria kuunganisha kati ya Kigongo na Busisi unahujumiwa.
Kutokana na hujuma hizo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetaka uchunguzi wa haraka ufanyike na watakaobainika wafikishwe mahakamani kujibu tuhuma zao.
Ikumbukwe daraja hilo linajengwa kwa jumla ya billion 700 za walipa kodi wa Tanzania.
View attachment 1986233
Na Kazi Inaendelea!Unahujumiwa na nani tena, na wakati nchi iko katika mikono salama ya chifu Hangaya? Msaidizi mwaminifu kabisa wa Hayati!
Timu gaidi meno yote nje kwa furaha kwa sababu hao boda boda na bajaji vyuma vimelegea hela zitajaa mifukoni mwao baada ya kufukuzwa mjiniNa Kazi Inaendelea!
Hawa nao wamekosa kazi. Wahujumu watakuwa ni akina nani kama siyo wao wenyewe kwa wenyewe wanahujumiana?
"Timu gaidi" ndio akina nani?Timu gaidi meno yote nje kwa furaha kwa sababu hao boda boda na bajaji vyuma vimelegea hela zitajaa mifukoni mwao baada ya kufukuzwa mjini
Sijui ni sababu zipi zinazowafanya muutamani sana "ugaidi", lakini mbona somo linatolewa vizuri sana hapo jirani yetu Uganda, kwa nini msiende kujifunza yanayotokea huko kuliko kuhangaika na kubambikizia kesi watu wasiohusika kabisa!Chadema