MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,411
Yaani vitu ambavyo ni vya msingi serikali kuvifanya sisi tunaona extraordinary...
Ndio maana hawa wanasiasa vimburukutu wataendelea kuwatumia Watanzania kama misukule vile...
Watu hawajui wajibu na kazi za serekali.
