kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
nondo au flat bar haiwezi mzuia mwizi kuiba bali humchelewesha
Kweli mbwa anasaidia na hasa kama umemtrain kutokula chochote ambacho wanafamilia hawajampa ale vinginevyo vijibwa vya kibongo akipewa kipaja chenye sumu na vibaka tu anakula na anakufa hapohapo na wizi unafanyika kama kawaidaUlinzi mzuri ni wa MBWA tu..binadamu ni rahisi sana kukugeuka...