Ujenzi: Nondo vs Flat bar Grills

Ujenzi: Nondo vs Flat bar Grills

Dirisha la 150*150 nondo ni 100,000-120,000 wakati size hio hio flat bar ni 150,000+
Kaulize bei ya flat bar na nondo urefu sawa ulete mrejesho.
kaka mkubwa habari.
Nusu nakuunga mkono nusu nakukosoa kiduchu.
Ulinganifu huu ungekamilika endapo ungeweka vipimo/size zinazotakikana ili tupime bei.
1. Je unaongelea nondo plain/square?
mm ngapi?
2. Flat bar thickness gani?
 
Ukipata fundi mzuri. Huto juta kutumia nondo
FB_IMG_1530100011748.jpeg
 
Mzee wa european cars kwema! ni ukweli mtupu flat bar wezi wanazikata kirahisi mnoooo, ila kuna nondo fulani hivi aisee mwizi atafanya kazi kubwa mnoooooooooo kuzikata! shida wabongo huwa tuna haraka ya kuhamia na kuachana na kupanga na ukiongeza na pressure za wanawake ndo kabsaaaa matokeo yake ndo hayo ya kuweka viflat bar ambavyo navyo vinakuwa supported na visquare pipe dhaifu why mwizi asivikate?? kisa bei rahiso Ila kingine wananchi tu watu wa hovyo sana kwa baadhi ya maeneo, mathalani unamkuta mtu/watu hatutaki kuchangia mathalani elfu 30-50 ya ulinzi shirikishi kwa mwezi kwa vijana ambao wako tayari kufanya ulinzi, ila tupo tayari kutumia laki kadhaa up to millions kurejesha vifaa vya gari ambavyo mwizi ameiba.
Ulinzi mzuri ni wa MBWA tu..binadamu ni rahisi sana kukugeuka...
 
Umepigwa...ninalo moja urefu sahihi sikumbuki ila ni floor to ceiling upana futi nne hilo nimelipia kama 270,000 tu! Kupachika dirisha moja 5,000-10,000.
Ni lini?isije kuwa unazungumzia habari za 2010?
 
kaka mkubwa habari.
Nusu nakuunga mkono nusu nakukosoa kiduchu.
Ulinganifu huu ungekamilika endapo ungeweka vipimo/size zinazotakikana ili tupime bei.
1. Je unaongelea nondo plain/square?
mm ngapi?
2. Flat bar thickness gani?
Plain/square? Nimelinganisha ukubwa wa dirisha.
 
Sio rahisi kama flat bars. Ndio point. Hata milango ya jela inavunjwa.
6mm flat bars ziko strong sana, wengi tunaweka 3mm/4mm thick ndio maana hata hao wezi wanazikata kirahisi.
 
6mm flat bars ziko strong sana, wengi tunaweka 3mm/4mm thick ndio maana hata hao wezi wanazikata kirahisi.
Wengi ni 4mm hata hizo 6mm huwezi kulinganisha na nondo. Urembo twisted ndio unazuzua watu.
 
Plain/square? Nimelinganisha ukubwa wa dirisha.
sasa ni ngumu kufanya ulinganifu..
1. ungesema nondo za 10mmm
2. flat bar za 6mm
Katika kutengeneza dirisha la ukubwa flan eg. 150x160cm
ndipo tungeweza kuchangia uzoefu wetu, lkn wewe umeongea kwa ujumla bila ufafanuzi
 
sasa ni ngumu kufanya ulinganifu..
1. ungesema nondo za 10mmm
2. flat bar za 6mm
Katika kutengeneza dirisha la ukubwa flan eg. 150x160cm
ndipo tungeweza kuchangia uzoefu wetu, lkn wewe umeongea kwa ujumla bila ufafanuzi
Dude flat bar iwe 4mm au 6mm haiwezi luwa stronger than nondo ya hata 10mm na haiwezi kuwa cheaper kuliko hata nondo ya 12mm.
Nishatumia flat bars, kabla sijatumia hizi nondo nimepiga hesabu.
 
Back
Top Bottom