Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
okNo...nyumba nyingi zina fence,grill na mbwa. Ndio nilichomaanisha. Kwamba huwezi kutegemea mbwa au ukuta peke yake.
okNo...nyumba nyingi zina fence,grill na mbwa. Ndio nilichomaanisha. Kwamba huwezi kutegemea mbwa au ukuta peke yake.
Hao wana bajeti yao ya chakula, huwezi kuwafuga kama bajeti ya kula wewe mwenyewe tu bado ni utata.labda huwapendi mkuu, kwangu bila mbwa mmh sijisikii raha lkn wakienyeji sitaki, only gsd
hahaha hilo dongo linawafaa timu roho mbayaHaya tumeshajua unapanga hela unaweka heshima bar
dadako akianza kuandaliwa unatumwa dukani sio?Nakaa kwa shemeji mkuu
Wazee wa kazi siku hizi wanakuja na lile dude la kupindishia flat bar lile lipo kama uma kwa mbele, yaan unaweza kuwepo dining na wakavunja sebuleni usihisi kama wanavunjaHizo hata ikipigwa nyundo inaachia.
Yaani we acha tu nataman jamaa nimtafune kwa kachuumbaridadako akianza kuandaliwa unatumwa dukani sio?
haha joking
Hao wana bajeti yao ya chakula, huwezi kuwafuga kama bajeti ya kula wewe mwenyewe tu bado ni utata.
Ni ujinga wa kiwango cha DAB.mentality za umaskini, kijana mzima hataki kusikia mwenzie anaongea mambo ya maendeleo kama ujenzi au gari huo ni zaidibya umama
Yaani we acha tu nataman jamaa nimtafune kwa kachuumbari
Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa - JamiiForumsHao wana bajeti yao ya chakula, huwezi kuwafuga kama bajeti ya kula wewe mwenyewe tu bado ni utata.
kibsaaNi ujinga wa kiwango cha DAB.
Sema tu ananipaga ela ya kubetia..ah hayo mengine watajuana wenyewe me najifanya sionihahaha
Kama hivyo sawa siyo unafuga mbwa kutegemea makombo ya vyakula vya bar.nafikiri najitosheleza kwa hilo, ni mwaka wa nane nikifuga kibiashara na sijawahi kushindwa
kulikoni kumpa makombo bora nimpe chakula changu nilale njaa, najua faida za mbwa zaidi ya ulinzi kwangu ni biasharaKama hivyo sawa siyo unafuga mbwa kutegemea makombo ya vyakula vya bar.
Hao wanataka kusikia habari za chu.pi tu...pumbav sana haomentality za umaskini, kijana mzima hataki kusikia mwenzie anaongea mambo ya maendeleo kama ujenzi au gari huo ni zaidibya umama
waende mmu kwa makahaba, humu hawaji wanadanga kuleHao wanataka kusikia habari za chu.pi tu...pumbav sana hao
Nondo ni uhakikaHuu uzi mzuri sana umenisaidia kuamua japo hata mwanzoni liwaza nondo