Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Kwa sasa fashion iliopo ni mabomba japo nasikia yana bei kuliko flat bar na nondo, not sure
Yeah, ukiweka zile plain nondo za 10/12mm au 6mm flat bars lazima grill iwe imara.sasa ni ngumu kufanya ulinganifu..
1. ungesema nondo za 10mmm
2. flat bar za 6mm
Katika kutengeneza dirisha la ukubwa flan eg. 150x160cm
ndipo tungeweza kuchangia uzoefu wetu, lkn wewe umeongea kwa ujumla bila ufafanuzi
Kwa sasa fashion iliopo ni mabomba japo yanabei sana
ulinzi wa kwanza ni Mungu kwani siku hizi watu wanavamiwa nje ya nyumbani cc Mo, pili ukuta, tatu mbwa, nne ndio grill.Yeah, ukiweka zile plain nondo za 10/12mm au 6mm flat bars lazima grill iwe imara.
Japo kwa mwizi yote yanawezekana.
labda huwapendi mkuu, kwangu bila mbwa mmh sijisikii raha lkn wakienyeji sitaki, only gsdMbwa wamenishinda kufuga.
Hata mimi, siwapendi!!Mbwa wamenishinda kufuga.
kufuga mbwa ni hobi mkuu, lkn jaribu mbwa wa kisasa pure breed hutajuta na utaleta mrejesho hapaHata mimi, siwapendi!!
Mbwa wamenishinda kufuga.
swali pure breed?Washkaji wananiambia nikachukue kila siku, ila siwapendi.
unarudi kule kule kwa wasiotaka kusikia, nimetaja vitu vinavyoambatana na ulinzi wala sijataja nilivyo navyo zaidi ya gsd, hupendi kusikia na wewe?Wengi mna vyote....mbwa,ukuta,grill
mkuu ulichoandika ndicho wanachosema mafundi makini.Hapa nalinganisha flat bars na nondo. Sisemi kuwa nondo wezi hawawezi kuvunja.
Acha kujidanganya, kuna mikasi maalum na wakiwa na kazi maalum wanatembea na mitungi ya gesi.Hapa nalinganisha flat bars na nondo. Sisemi kuwa nondo wezi hawawezi kuvunja.
Haya tumeshajua unapanga hela unaweka heshima barHaya tumeshajua unajenga
No...nyumba nyingi zina fence,grill na mbwa. Ndio nilichomaanisha. Kwamba huwezi kutegemea mbwa au ukuta peke yake.unarudi kule kule kwa wasiotaka kusikia, nimetaja vitu vinavyoambatana na ulinzi wala sijataja nilivyo navyo zaidi ya gsd, hupendi kusikia na wewe?
Nakaa kwa shemeji mkuuHaya tumeshajua unapanga hela unaweka heshima bar