biashara usindani na itasaidia bei kushuka,
pili wanashinda tenda sio kuwa wanaåpewa tu kujenga
,tatu duniani wanaaminika kwa ujenzi
biashara usindani na itasaidia bei kushuka,
pili wanashinda tenda sio kuwa wanaåpewa tu kujenga
,tatu duniani wanaaminika kwa ujenzi
Kichwa cha mwendawazimu kinahitaji fundi......? Zambia kila mara wanatuonyesha mfano lkn tunajifanya hatuoni
Wachina ilikuwa enzi za Mao ndugu hawa wa sasa chakachua kabsaa kuna road wamejenga kama sikosei ni Singida na ingine Arusha kama sikosei hazijamaliza mwaka choka mbaya uku wakijifanya ndo lowest bidder bila kujali quality
Wachina ilikuwa enzi za Mao ndugu hawa wa sasa chakachua kabsaa kuna road wamejenga kama sikosei ni Singida na ingine Arusha kama sikosei hazijamaliza mwaka choka mbaya uku wakijifanya ndo lowest bidder bila kujali quality
Mkubwa, moja ya sababu ya hilo ni kwamba serikali ya Uchina inahisani miradi mingi sana ya ujenzi nchini, na moja ya masharti yao ni kwamba makampuni ya serikali yao, not least the China Railway Engineering lazima wapewe kujenga. Ili sehemu kubwa ya msaada wa China inarudi huko huko kwao.Kuna tatizo kubwa ambalo linaendelea na kufumbiwa macho. Wachina wanakuja na sera rasmi ya kutafuta kazi na masoko na bidhaa zao. Watanzania wanatafuta kazi hawapati, kodi za watanzania zinasomesha wahandisi ambao nchi yao yeyewe inawanyima ajira. Wachina wanakuja na fandi za kujenga miradi yeyote ambayo wanapata ndani ya nchi hii ili waweze kuleta nondo, cementi na vifaa vyote vya kukamilisha nyumba. Tatizo hili ni bomu linasubiri kulipuka. Wahandisi mnalijua hili? Tanzania inajua kuwa inauwa viwanda vyake vya cementi na nondo?
Wachina acheni wafanye biashara kuanzia ya umachinga mpaka ujenzi wa maghorofa ili wale wajenzi wa kibongo wenye bei kubwa washike adabu, na wale wanaotuuzia nvitu toka china kwa bei ya ulaya wakome.
Kuna tatizo kubwa ambalo linaendelea na kufumbiwa macho. Wachina wanakuja na sera rasmi ya kutafuta kazi na masoko na bidhaa zao. Watanzania wanatafuta kazi hawapati, kodi za watanzania zinasomesha wahandisi ambao nchi yao yeyewe inawanyima ajira. Wachina wanakuja na fandi za kujenga miradi yeyote ambayo wanapata ndani ya nchi hii ili waweze kuleta nondo, cementi na vifaa vyote vya kukamilisha nyumba. Tatizo hili ni bomu linasubiri kulipuka. Wahandisi mnalijua hili? Tanzania inajua kuwa inauwa viwanda vyake vya cementi na nondo?