Ujenzi chumba sebule Jiko na choo

πŸͺ–πŸ¦ΊπŸ”¨β›οΈπŸͺ–πŸ¦Ί

SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha

Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!

Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu itakuhudumia kwa ubora wa hali ya juu. Tunahudunia wateja wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro

πŸͺ–πŸ¦Ί Shebwa Masonry Contractor πŸͺ–πŸ¦Ί
Tunajivunia kufanya kazi za viwango vya hali ya juu, usahihi, na ufanisi ili kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora,imara, salama, na yenye kuvutia. Tunaelewa kuwa nyumba yako ni uwekezaji wa thamani, ndiyo maana tunatoa huduma bora ambazo utafurahia.

Kwa Nini Utuchague?
πŸͺ–. Wataalamu wenye ujuzi wa kutatua changamoto za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
πŸͺ–. Ubora wa kazi na wenye kufwata vigezo vyote vya ujenzi.
πŸͺ–. Gharama nafuu na huduma zinazolingana na bajeti yako.
πŸͺ–. Huduma za haraka, salama, na zenye viwango

Maelezo Zaidi Ya Huduma Zetu:
πŸ”¨. Uashi (Masonry): Ujenzi na ukarabati kwa kutumia matofali, mawe, au saruji (cement) kwa ajili ya kuta, misingi, n.k.

⛏️. Uwekaji wa Paa (Roofing):

πŸ”¨. Uwekaji wa Tailizi (Tiles Installation)

⛏️. Upakaji wa Rangi: Kupaka rangi ndani na nje ya nyumba.

πŸ”¨. Ukarabati wa Kuta na Upigaji Plasta: Kurekebisha nyufa, mashimo, au kuta zilizoharibika na kupiga plasta.

⛏️. Uwekaji na Ukarabati wa Sakafu: Kuweka sakafu mpya na kurekebisha sehemu zilizoharibika.

πŸ”¨. Ufungaji na Ukarabati wa Mifereji ya Maji:

⛏️. Ukarabati wa Dari: Kurekebisha nyufa, uharibifu wa maji, au kudorora kwa dari.

πŸ”¨. Uwekaji na Ukarabati wa Uzio:

⛏️. Upangaji wa Nje na Uwekaji wa Pevin

πŸ”¨. Uwekaji wa Mageti na Grili za Chuma

⛏️. Tuulize kuhusu huduma unayohitaji ambayo haija orodheshwa.

Huduma hizi zinahusu kumiliki mjengo mpya, kutunza, kurekebisha, na kuboresha majengo ya makazi na biashara yaliyochakaa. Karibu mteja.πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Hii hapana, yaani chumba sebule na jiko dogo na public toilet ifike 30M?? Imezidi saaana ni 15M hajasema vyumba vi3 wala hakuna master room
Mijitu inaongeza tu sifuri humu ukiwa na wenge unachanganyikiwa
 
Ukiwa na 15M
Kuchimba msingi na kuujenga
Kupandisha tofali
Kuweka lenta
Kuezeka
Plasta
Shimo la choo
Fremu za milango & Milango
Grill
Skimming & Rangi
Aluminium
Tiles
Wirering
 
Ukiwa na 15M
Kuchimba msingi na kuujenga
Kupandisha tofali
Kuweka lenta
Kuezeka
Plasta
Shimo la choo
Fremu za milango & Milango
Grill
Skimming & Rangi
Aluminium
Tiles
Wirering
Asante sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…