Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

Kwetu ULANGA kutoka Kilombero ni km 75 tu lkn miaka yake yote imekuwa stori tu
Magufui alikuwa na mikoa yake ya kujenga barabara.
Kuna mikoa aligoma kabisa.
Mbeya ni mfano mzuri.
Barabara ya Igawa-Tunduma , yenye kilometa karibu 200, na kuby-pass Jiji a Mbeya imeimbwa wakati wa ilani za Uchaguzi toka miaka ya Mkapa na Mwinyi.

Magufuli amekuwa waziri wa ujenzi mpaka rais miaka zaidi ya 20, na hakuna ilichofanyika.
Kule kwetu milimani barabara ya Tukuyu-Mbambo -Busokelo-Mwakaleli-Katumba, ya karibia kiometa 90, imeimbwa weee...... miaka yote ya uchaguzi.
Makandarasi yupo lakini kazi iliyofanyika ni kidogo sana.

Ujenzi wa barabara mwendazake alichagua za kujenga.
 
Wabunge wa nchi hii ya Tanzagiza au wengne????
Kwahiyo wabunge wapuuzi wewe ndio una akili? Tanzania buana...si uchangie hela za kujenga hizo barabara ili tumsahau JPM? Mkono mtupu haulambwi, sisi waswahili twasema hivyo.
Kinachofanya akumbukwe ni matendo yake. hatuwezi kula nahau na misemo. Tunataka kazi kwa vitendo. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni
 
Kama wanavyokuona chizi unaemkumbuka ibls yule
Asiyemkumbuka JPM ni chizi pekee asiyekuwa na akili!!

Mtu kajenga barabara tangu akiwa waziri na hakuna waziri aliyedumu kwenye wizara hiyo kama yeye, halafu iwe rahisi tu kusema eti humkumbuki, ni Ungese huu
 
Na kama ni hela kupigwa kwake ndipo tulipigwa mnoooo yani mnoo.
Ile 1.5T aliinywa au..? Acha kutuona mabogus. Mtu akaweke taa huko porini ajenge miradi ambayo pesa haizunguki. Unazika hela😂😂😂 pesa inataka maarifa sio umwamba aiseee. Hakustahili kutuongoza kama taifa. Simkubali.
Hao kina ulimboka waligoma sawa lakn JK aliongeza mishahara kwa kila baada ya miaka 3 mfanyakazi alikua anapanda daraja. Huwezi jua ulimboka alikua nyuma ya nani.? Na muda aliohamasisha maandamano bado walikua wanalipwa angalau tatzo alitaka alipwe mshahara sawa na nchi fulani. Kipindi cha JK wahitimu toka vyuo ajira zilikua 90%. Tena sio kwa kujuana bali kwa kuchukua watu vyuoni sasa kaingia huyo Msukuma ajira zikawa za kujuana kama huna ndugu wa juu sahau kupata. Ila Mungu katuvushwa. Jina la bwana lihimidiwe
Dah aisee we mtu unaishi nchi gani? Tanzania hii hii? tokea lini nchi hii ajira zilikua 90% tena kwa watu kufuatwa mavyuoni. Hata kama una mahaba lakini siyo kwa kupotosha umma kiasi hiki.
 
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.

kwa kweli kuna tatizo sehemu fulani ktk vichwa vya watz.mm si muumini wa chama chochote kile niko liberal na wala si mwumini wa chama chochote kile cha kisiasa lkn reli ni muhimu sana ktk uchumi wa nchi yoyote ile duniani kama kuna mtu anasema reli haina umuhimu kwa nchi basi tujitafakari wapi tunakosea.
 
Umuhimu wa reli hauji kwa hisia bali kwa kuweka namba,..

Weka namba tulinganishe umuhimu wa reli vs barabara.
 
We fala sana,
Unazungumzia mitaa ya mita mia moja au mia mbili?
Ongea trunk roads za kuunganisha sehemu za vijijini kwa walengwa.
Magufuli alijenga kilometa kwa mamia, lake zone halafu una compare na mita mia za mitaa kwa wahuni.

Hiyo double lane toka Igawa hadi Tunduma naona iko shimoni kule Chato, sisi hatujaiona.
Usipende kurukia mambo bila kujua limetokea wapi? Magufuli hakujenga tu barabara lake zone, bali amehusika katika kuiunganisha Tanzania kwa barabara za lami akitekeleza ilani ya CCM. Huu ukanda unaotaka kuuleta hapa sisi watanzania hatujazoea, tunachojua nchi ilijengwa kwa kuzingatia vipaumbele pamoja na maelekezo ya ilani ya CCM.
 
Acha ujinga!
Aliunganisha nchi gani zaidi ya za kwenda kwao Burundi.
Barabara ya Zambia pale Mbeya imelalamikiwa kwa muda mrefu kwani hakuiona?

Watanzania( na hata magari kwenda Zambia, S. Africa na Congo) wanakufa kila mara miteremko ya milima Nyoka na Mbalizi.

Ilani ya CCM kule ilikuwa haina macho au ilizimwa na mwenyekiti wa wakati huo Magufuli!
 
Baba yangu gani? Uongo upi wewe fala? Hakuna unachoweza niambia kuanzia Iringa,Mbeya,Songwe,Rukwa na Katavi huku ni maeneo yangu ya kujidai na ni nyumbani..

Nakwambia hivi barabara ya Tunduma Sumbawanga hadi mpanda imejengwa kwa ufadhili wa USAid chini ya MCC enzi za JK na ilikamlika 2014/15 ..

Ropoka jambo jingine
Unaonekana ulilelewa na mama wa kufikia ndio sababu unaropoka na kutukana ovyo.
 
Unamtaja YESU ikiwa una chuki na husda moyoni?
Unadhani Yesu alikuwa akiwapenda watu makatili? Alikuwa akiwakemea hadharani kwa ukali wote. Kuna siku aliwaambia watu "Ninyi ni wa baba yenu ibilisi na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda; yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo, wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake , ..." YOHANA 8:44.

yule mzee alijeruhi mioyo ya watu wengi sana. Machozi ya mioyo ya watu yalim'beba akafia kwenye kiti. Huwezi umiza watu kiasi hicho kisha ukabaki salama.

JESUS IS LORD
 
Ndio nimeumia mnoo maana mtu aliyevuruga mpango wa Ujenzi barabara alikuwa Magufuli..

Alihamisha bajeti ya barabara ikahamia kwenye reli na sgr,miaka 6 ya Magufuli kajenga chini ya km2,000 za lami wakati Tulikuwa tunajenga wastani WA km 2500-3000 kwa miaka 5..

Hao hata walie au wapige sarakasi hakuna kitakachobadilika kwa sababu pesa hazitoshi..

Hayo ndio matokeo ya kuwa na mtu asiye na akili.Binafsi ninakereka Sana na Mwendazake kwa sababu aliharibu mambo mengi mno..

Mfano mkoa wa Songwe alijenga km 50 tuu kwa miaka yote 6,Rukwa hata km 1 hakuna,Katavi ndio alijenga km 390 kwa sababu Waziri wa Ujenzi alikuwa wa huko ndio hiyo barabara Rais alizindua juzi..

Kigoma hakuna, barabara zimeanza kujengwa mwaka juzi baada ya mkopo wa

Yaani kiufupi hakuna Mkoa ambao barabara zilijengwa zaidi ya km 100 kwa miaka 6..Mwaka wa kwanza wa Samia karibu pesa yote ya Wizara ya ujenzi imelipa madeni ya wakandarasi..

Mwaka huu ndio pengine barabara zitaanza kujengwa kwa angalau Kwa speed ya awali.
unachekesha sana mkuu, basi nenda hata kasikilize hotuba ya kufunga bunge mwaka 2020 afu uje uandike tena maana takwimu zako zina mashaka sana
 
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Mjomba! Unafeli wapi?? JPM alikubong'oa kila kona inaonekana?! Hahaha..na badoo...maumivu aliokuachia yatakutesaa hadi uolewee na uzeekeee....shwain kabisaa nyani za aina yako
 
Mjomba! Unafeli wapi?? JPM alikubong'oa kila kona inaonekana?! Hahaha..na badoo...maumivu aliokuachia yatakutesaa hadi uolewee na uzeekeee....shwain kabisaa nyani za aina yako
Wala ni ujinga wako tuu umejaza kichwani mwako..

Sera zake mbovu ndio zilinibongoa..Tanzania ya Sasa tungeelekeza pesa maeneo sahihi saizi tungekuwa kama Ulaya harafu ndio tungeanza kukomaa na costful projects.
 
Back
Top Bottom