The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,146
Rubbish ๐ฎ๐ฎ..Hata kama asingekuwa wa kanda ya ziwa! Anakariri maisha badala ya kujiuliza sababu ni nini za kusafirisha tani chache hizo? Ila kumbuka ni tani za kwenda nje ya nchi ila hajazungumzia mzunguko wa ndani mwanza na mikoa mingne ipi inachukua tani kubwa kutoka bandari kuu. Unaanzisha meli za mizigo kutoka mwanza kwenda uganda halafu unapinga uanzishaji wa reli. Huyo alosema alitaka ipite kwake kwenda burundi ๐๐
Kuhusu reli ni mataifa mengi ikiwemo usa, china na india.
Yule mjinga aliyekuwa Rais alikurupuka..
Kwa nini kigoma na SADC zitafirishwe Tani zaidi ya mil.1 na mil.3 mtawalipa? Hili ndio jibu la swali lako la kijinga..
Nafurahi kuona Sukuma gang haiwahusu watu wa Kagera.