Ujasusi Sebuleni Kwetu

😂😂😂😂
 
Habib amekuwa mhuni mhuni sana siku hizi
Hizi mada zina unyeti sana zinagusa maeneo nyeti sana kiintelijensia,kisiasa na kidiplomasia so kupata ukinzani au upinzani ni jambo linalotarajiwa. Km imetokea hivyo yeye afanye nini. Halafu Jf siyo ya kwake kuna wenye mamlaka ya kupokea malalamiko au order yyte ili kusitisha chochote kinachorushwa humu. KUFIKIA HITIMISHO KUWA NI MHUNI SI SAHIHI HATA KIDOGO.
 
Nafikili ni bora hizi mada kama zinahusu familia za walengwa moja kwa moja aombe ridhaa kwa familia
 
Hivi pale jangid wapo ghorofa Ya ngapi? Au washahama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…