Ujasusi Sebuleni Kwetu

Ujasusi Sebuleni Kwetu

Hatari sana...watanzania kwa njaa zetu,mtu anaweza kufanya ujasusi kwa urahisi sana na hata kushambulia jiji zima la dar na kuliteketeza kabisaa!!!
Wala sio njaaa!!kitu uzalendo ndio cha maana,na uzalendo hauibuki tu kwa kauli mbiu,au kwa kuvaa nguo zenye bendera ya taifa bali hujengwa toka mtu akiwa mdogo kwa kuona kweli nchi ni mali ya wote na sio watu wachache tu!!angalia mfano wa israel kwenye uzalendo huwaambii kitu kwani upo damuni hata wazungu kwani nchi zao zinawatambua raia wake na zipo tayari kugombana na nchi nyingine kisa raia wake yupo matatani,mfano ugomvi wa kiuchumi uliopo sasa kati ya USA NA TURKEY!!kisa uturuki wanamshikilia raia wa marekani ,huku wao wakiona si haki!!lakini huku raia wanapotezwa wala hakuna anayejari,vyombo vya dola kila siku ni kuua raia wasio kuwa na hatia!!hapo uzalendo utoke wake???!!hapa uliopo ni ule wa kinafiki tu mtu akipata cheo kwa kujikomba ndio anaitwa mzalendo!!!!
 
Naona jamaa hajaelewa vizuri, wanaotumika wanaamini wanapigania imani yao kumbe ni kinyume kbs na wanachokifikiria.
 
Kuna watu wanajua kufanya jambo wakitumwa aisee, Odeh ni moja wapo
 
Makata ni tamu kama rushwa,au kama madaraka ya urais wa ki africa
 
Asante kwa chakula ya ubongo. naomba nikumbukwe kwenye taglist next time
 
Hatari sana...watanzania kwa njaa zetu,mtu anaweza kufanya ujasusi kwa urahisi sana na hata kushambulia jiji zima la dar na kuliteketeza kabisaa!!!

sio njaa jomba. Kuna asiyependa vya bure? Wazungu na hali zao bora bado wanahangaika kuchukua madini bure kongo
 
Back
Top Bottom