Ujasiri wa kusimama mbele za watu wengi

Hata mimi ni muoga sana kusimama na kuanza kuongea mbele za watu ila nikinywa bia tano(serengeti lite za baridi)huwa napata ujasiri wenye heshima na kupangilia maneno vizuri mno
Why za baridi au upo sehem ya joto feni inatema Moto wa oryx
 
Tafuta kinywaji kikali colourless weka kwenye chupa ya maji iwe pale kwenye meza yako uwe unagusa taratibu.
Mind you unaweza kupatia au ukaharbu kabisa ukaonekana mtu wa ovyo kabisa mbele ya umati.
 
Fanya mazoezi mbele ya kioo cha kuvalia (dressing table) mbinu hii ilinisaidia wakati nnikiwa chuo mihadhara Ile watu zaidi ya miamoja nilipiga tizi kama vile naongea na watu, huku nikichagua maneno mazuri yanayoendana na mkutadha husika nilifaniwa sana sana, Fanya hivo kiongozi utanishukru
Hahaha aiceee hii mbinu pia iliniokoa enzi za chuo sema Mimi nilikuwa nastua na value kidogo kuleta confidence
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom