SiwazuriSiwazuri
Member
- Oct 4, 2021
- 8
- 7
Msaada mwenzenu yamenikuta nina sherehe yangu ya ndoa hivi karibuni,
Sasa basi kila nikifikiria kwenda kusimama mbele za watu na kuongea yaani katika kutambulisha uwiii
nahisi jasho jembamba linanitoka, unaweza kushangaa la mbele unarudisha nyuma, na la nyuma unapeleka mbele...plz msaada jamani kwa waliopitia walifanyaje?
Au walitumia nini katika kuondoa hofu

Sasa basi kila nikifikiria kwenda kusimama mbele za watu na kuongea yaani katika kutambulisha uwiii
nahisi jasho jembamba linanitoka, unaweza kushangaa la mbele unarudisha nyuma, na la nyuma unapeleka mbele...plz msaada jamani kwa waliopitia walifanyaje?Au walitumia nini katika kuondoa hofu




