GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,673
- 1,950
Transportation business had never been a successful business in this world...!
This is your vision but many people are getting rich from this business.
Transportation business had never been a successful business in this world...!
Mph!! We ndo ulinitekenya ikabidi nicheke.
Uwiii haya maneno unaongelea chumbani bana toka hapa sebuleni aisee,
Mkuu Mtoto tajiri umeongelea daladala. Vp kuhusu Noah maana huku mikoani zinapiga kazi. Je nazo unaweza nunua yenye bodi safi tu? Na bei yake unakadiria ni sh. Ngapi? Vile vile bei ya hizo daladala zenye bodi safi hata injine ikiwa imechoka ni sh. Ngapi? Na kuna hizi Toyota dyner (dungu) zinaweza kuwa sh. Ngapi? Naomba majibu kwa hayo na kama unauzoefu wa upatikanaji wake tueleze ili mtu apate maada wako pindi atakapo hitaji. Natanguliza shukurani.
kuhusu Noah ni bora ununue mpya sababu body zake zinawahi kuchoka ku
liko engine,kuhusu hizo Dungu za Toyota dyner wala sikushauri mkuu haziwezi kuhimili mikiki mikii kwa nyingi zinakuwa na double tairi huku nyuma halafu tairi zenyewe nyingi zinakuwa ndogo na pia bodi yake haijakaa vizuri,kuhusu bei yakununulia bodi yaani hapa namaanisha gari inakuwa inatembea lkn ina matatizo ya engine bei isivuke 5ml hata kwa viboko gari isivuke hapo na usipokuwa una haraka hata chini ya hapo unapata ili kwamba unapoifanyia marekebisho usizidi 11ml,zingine zio hadi ununue engine mpya unaweza ukanunua half engine ukaweka ukapumzika,kumbuka wengine wanauza hiace kwasababu hawaiwezi biashara hii kwahiyo hapo unawakadiria tu!
Mph!! We ndo ulinitekenya ikabidi nicheke.
Naona hapa thread iliingiliwa na virus...
Nikupe mfano mdogo tu kwa sisi tulioamua kukaa kijijini.Laiti kama ningekuwa na hizo suzuki carry2, biashara yangu ingekuwa ni shughuri ya kuzibebesha mkaa tu mara2 kwa siku na kila trip nabeba gunia10 so kwa gari mbili ntakua na gunia40 kwa siku.
Ningenunua chainsaw kwa sh1800k, then naingia mkataba na wachoma mkaa kwa kuwakatia magogo then wao wanapanga na kuchoma kwa sh5000 kwa roba. Nikinunua petrol ya sh120000 2T ya sh36000 na Oilchafu ya sh20000 inatosha kabisa kuzalisha roba 1000 za mkaa.
Loba1 la mkaa kulitoa porini mpaka store/kwa mteja nitalilipia gharama ya sh1000 tu.Kutoka pori mpaka hapa ni km25 tu, so nikuachie assignment ya kujazia cost za mafuta ya hizo suzuki carry kwa huo umbali x2 per day. Kisha fanya overall calculation ya cost na faida utakayopata ikiwa bei ya roba1 ntauza minimum sh25000
.
Huo ndo mtaji wangu, ningeanza hivyo na wala nisingepasuliwa kichwa na hii biashara hata siku moja.