Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,913
Acha dharau,wewe mwenye uliesoma mbona huna jipya.Sawa nimekuelewa mkuu, ingawa hujajibu chochote, kuna watu huwa tuna vipaji vya kupima mawazo ya mtu na kutambua uwezo wake kiakili kwa njia tatu; Argumentation, Analyzation & Reaction. You Have Argued With Tired Mind, You Have Analyzed My Request With Ruined Brain And You Have Reacted As A Dead Mind.
Nimepata jibu kwanini unaiweza biashara ya magari, itakuwa wewe mwenyewe ni fundi magari kwani walio wengi hupelekwa garage baada ya kufeli darasa la 7.
Presentation yako yenyewe mbaya kweli,yaani unashindwa hata kuandika unachotaka kushauriwa?
Halafu unaleta dharau kwa Std 7.Nyie ndio mkisoma mnaona kama ndio kila kitu na mnashindwa ku badilika katika maisha halisi.
We hadi unanunua Carry mbili halafu unashindwa ku manage,wakati huo huo kuna watu juu na elim za kawaida wanakupa dondo za maana.Elima ya Darasani ni tofauti na Elim ya maisha.Jifunze acha maisha ya kusadikika.
Pili unatia aibu hao wasomi wenzio kama kweli,msomi wewe unaweza kuweka hoja kingumbaru namna hii.
Acha dharau kwa wenzio,heshim utu wa mwenzio na daraja la mwenzio,kwakuwa hujui mungu moyoni kampa mtu huyo upeo gani na kipaji gani.Nyie ndio mnafanya watembea na vibahasha posta kuwa weeengi,na mnafanya wenzenu wakose ajira wakimaliza masomo kwa kuambiwa lazima wawe na uzoefu wa miaka mitano kwa Umbumbu huu wa kushindwa kujieleza kisha kujiita wasomi.
Na kwa muonekano tu ni kwamba hakuna biashara nyepesi wala ngum utakayoiweza.Na unaiga nani kafanya na mie nifanye.
Kwa ku declare interest ninafanya biashara hiyo ya Carry na kama mwanaume ni changamoto za kawaida sana ambazo kubwa ni matengenezo.Na kwa kukusaidia ni kwamba sasahivi watu wanatoka kwenye Carry wanaingia kwenye liteace au Townace pick up za tani moja,hesabu ya siku ni 25,000 -30,000 wakati carry ni 20,000 kwa siku.