Ujanja wa Mujini.....

Ujanja wa Mujini.....

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,824
Reaction score
1,291
Kuna jamaa alikuwa kiwembe balaa akaamua kuoa, kila wakati akawa anapigiwa simu na videmu vyake mpk wife wake akashtukia akawa anapokea yeye, jamaa kuona kila siku anakuwa na ugomvi na wife akaamua kubadilisha jina la mpenzi wake mmoja wa nje kwenye simu yake aandika "BATTERY LOW" ugomvi uliisha kwani kila simu ikiita inaonyesha BATTERY LOW wife anaiweka kwenye charge!!!!
 
sasa akipiga kwa siku mara nne lazima ashtuke au betri mbovu?
 
aaaa wapi utabambwa 2 dawa nikuwaface kuwapa sh** tuu
 
Ingekuwa zamani na mimi ningeandika loh.! Wazinzi bana
 
Back
Top Bottom