Yaani ni kama Mimi na Wewe hawaonekani kama MAJANGILI wa sura za kutisha...
Tanzania ni shamba la bibi! mpaka wakenya wanatuibia mchana kweupe!
hii ni tanzania
meno 214 gawanya kwa mbili ni tembo 107 wameuwawa kama ni zile pembe tuu
duh na bado walikouwa hao tembo kuna walinzi wa hifadhi na mbuga za wanyama wanaolipwa na serikali na bado idadi hiyo kubwa ya tembo wameuwawa na bado tunasema tuna askari wa wanyamapori
hii nchi hii bana kila kiru kinawezekana mkuu nngu007
utajuaje mkuu labda hawajafunzwa moshi ?siamini kama polisi walikataa kupewa hongo au hawakukubaliana price nini?
Hii ni tanzania
Meno 214 gawanya kwa mbili ni tembo 107 wameuwawa kama ni zile pembe tuu
Duh na bado walikouwa hao tembo kuna walinzi wa hifadhi na mbuga za wanyama wanaolipwa na serikali na bado idadi hiyo kubwa ya tembo wameuwawa na bado tunasema tuna askari wa wanyamapori
Hii nchi hii bana kila kiru kinawezekana mkuu nngu007
siamini kama polisi walikataa kupewa hongo au hawakukubaliana price nini?